Ajira za Uhasibu (Accountant), Store Keeper na Personal Assistant

Ajira za Uhasibu (Accountant), Store Keeper na Personal Assistant

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
610
Reaction score
749
Asalaam Alaikum.

Fursa ya ajira.

Kuna nafasi za kazi za...

1) Mhasibu (Accountant).

2) Store Keeper.

3. Personal Assistant.

Anaeomba kazi awe ni mzoefu wa hiyo kazi na anafahamu kazi na sio wa kufundishwa kazi.

Kazi zetu kwa sasa zipo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo.
Kwa maelezo zaidi Wasiliana na Abdul Ghafur: Whatsapp 0625249605
 
Mkuu umri unaachaje kuna wazeee naona wanataka ajira
 
Kazi zetu kwa sasa zipo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo.

Wasiliana nasi kwa whatsapp au piga simu 0625249605 kwa maelezo zaidi.
 
Mkuu kwa kazi kama store keeper na personal assistant zinatrainika hata mtu akikosa uzoefu na ubobezi.
Wape nafasi vijana
Tumejaribu imekuwa ngumu sana kwetu. Sisi ni taasisi inayoanza kazi zake, inabidi tupate wazoefu ili wa set precedence ya procedures and policies. Tumeshachukua vijana watatu nyakati tofauti, tena wote ni wahitimu waliosomea fani hizo lakini ikawa ngumu sana sana. Ni mtihani.

Anahitajika mwenye uzoefu ndio awa train wengine.
 
Nafasi mpya kama zilivyoelezwa hapo juu, zipo. whatsapp 0625249605.
 
Mnalipa sh ngapi kwa mhasibu?
Sisi hatulipi kwa kuwa tu anaitwa mhasibu, tunalipa kwa uwezo wa kazi yako, nidhamu yako ya kazi, ujuzi na ueledi wako wa kutatua changamoto za kazini, miiko ya kazi yako, ubunifu wa kazi zako"performance-based not title based", the better earnings for the better performers, the poor earnings for the poor performers.
 
Hujaandika hiyo ni kampuni au kiwanda gani? Hujaweka address yenu yaani ni namba ya whatsapp tu watu watumie kuombea kazi.... Mbona kama kuna harufu ya utapeli mkubwa hapa
 
Sisi hatulipi kwa kuwa tu anaitwa mhasibu, tunalipa kwa uwezo wa kazi yako, nidhamu yako ya kazi, ujuzi na ueledi wako wa kutatua changamoto za kazini, miiko ya kazi yako, ubunifu wa kazi zako"performance-based not title based", the better earnings for the better performers. the poor earnings for the poor performers.
Acha siasa, weka details za kampuni yako watu tuijue kiundani.
 
Sisi hatulipi kwa kuwa tu anaitwa mhasibu, tunalipa kwa uwezo wa kazi yako, nidhamu yako ya kazi, ujuzi na ueledi wako wa kutatua changamoto za kazini, miiko ya kazi yako, ubunifu wa kazi zako"performance-based not title based", the better earnings for the better performers. the poor earnings for the poor performers.
Shaka hilo
 
hujaandika hiyo ni kampuni au kiwanda gani? hujaweka address yenu yaani ni namba ya whatsapp tu watu watumie kuombea kazi ....mbona kama kuna harufu ya utapeli mkubwa hapa
Jiwe Alisema Unamzabua Kofi Mtoto Utaona Atakavyobugia Uji
Kaa Vizuri Wasiwasi Ndiyo Akili
 
Back
Top Bottom