Ajira za Uhasibu (Accountant), Store Keeper na Personal Assistant

Asalaam Alaikum.

Fursa ya ajira.

Kuna nafasi za kazi za...

1) Mhasibu (Accountant).

2) Store Keeper.

3. Personal Assistant.

Anaeomba kazi awe ni mzoefu wa hiyo kazi na anafahamu kazi na sio wa kufundishwa kazi.

Kazi zetu kwa sasa zipo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo.
Kwa maelezo zaidi Wasiliana na Abdul Ghafur: Whatsapp 0625249605
Nilishawahi ingia chaka nikafika bana kwa uyu mzee nilijuta kwanza mazingira ya kihuni sanaa
Anakufanyia interview uku anakula fegi balaa....
Kwel kazi tunatafuta lkn nilijikuta nataka kuaga mwenyewe[emoji3]
 
Ni muono wako tu. Being natural and real. Au ulitaka ukija nivae suit na tie? Nianze ku act?
 
Ni kwel tabia ya mtu hua mara nyingi inasadifu yaliyomo kama ww ndo mzimamiz wa hiyo taasisi ya dini
Unashindwa tu kujali afya ya mtu sijazungumzia suala la kuvaa
Mazingira ni ya kihuni matusi kila kona kama chimbo la wana
 
You are right.

Ni heri nikuone right tu, maana nikianza kubishana na "kinyagu" nami nitakua "kinyago".

Have a nice day.
 
Kuna cha ajira hapo kweli mkuu au chenga tu?
Mkuu mimi alishaniingiza chaka nilienda siku moja nafikir mwaka jana nilijua kwel ni taasis lkn nilifika jamaa yupo ome pembeni ndo kuna magofu ya hiyo taasisi
Jamaa anatokea chumban na ma fegi anakuhoji kwa dharau sanaa utafikir amepak gar apo njee
An sikushaur ata kama hiyo taasis itakua inafanya kazi huyu msomali ni kanjanja tu
 
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom