kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Sigegedi viajuza mimi..tafuta wazee wenzio huko mparamiane.Ukweli upi uliomwambia?Anakuona poyoyo, kila unachosema anakujibu "upo sahihi". Jifikirie.
Unaelewa maana yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sigegedi viajuza mimi..tafuta wazee wenzio huko mparamiane.Ukweli upi uliomwambia?Anakuona poyoyo, kila unachosema anakujibu "upo sahihi". Jifikirie.
Unaelewa maana yake?
TapeliAsalaam Alaikum.
Fursa ya ajira.
Kuna nafasi za kazi za...
1) Mhasibu (Accountant).
2) Store Keeper.
3. Personal Assistant.
Anaeomba kazi awe ni mzoefu wa hiyo kazi na anafahamu kazi na sio wa kufundishwa kazi.
Kazi zetu kwa sasa zipo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo.
Kwa maelezo zaidi Wasiliana na Abdul Ghafur: Whatsapp 0625249605
Nafahamu kuwa wewe ni wale wale, maandiko yako yanatosha kukuelewa. Utayaweza wapi wewe, mwenyewe u mtoto" wa watu.Sigegedi viajuza mimi..tafuta wazee wenzio huko mparamiane.
Siku hizi wanafanya hivyo, muulize Kalemani wamempiga sana baada ya kufukuzwa uwaziri, pamoja na ukuda wake ila matapeli wamemliza na ajira fake. Huyu mdau ndiyo hao hao.Ulitapeliwa nini?
Hapo sasa.
Umeusoma uzi au umekurupuka? Kuna ajira feki Madrassa?Siku hizi wanafanya hivyo, muulize Kalemani wamempiga sana baada ya kufukuzwa uwaziri, pamoja na ukuda wake ila matapeli wamemliza na ajira fake. Huyu mdau ndiyo hao hao.
Waache tu, hawana cha kukosoa inabidi wajaribu kuni attack mimi binafsi kwa kuni provoke. kwa kuwa hawaelewi wafanye nini zaidi, hawaa hoja, ni wakukubaliwa tu kila walisemalo. Waache wajifurahishe nafsi zao.Labda husomi izuri tu au ukisemacho hukielewi au ukisomacho hukipendi., ameandika mara chungu nzima rudia post za ke vizzuri. Hajaanza kuandika au kuandikwa habari zake humu JF leo wala jana. Yeye tunamsoma humu, mkewe " Bi Mrembo" tunamsoma humu na "udongo" wao wa tiba uliowasaidia na unaendelea kuwasaidia watu wengi sana.
Roho tu zinawauma, mzee wa Madrassatul Abraar anafanya mambo yake kitaalam.
Nimjuayo huyo ni mtu asiyekuwa na longo longo, ni ndio au hapana. Kama hujamuelewa utamuelewa tu na ukienda na porojo anakupa live, hakucheleweshi.
Badala ya kuuliza 3rd party, kwanini kama una lako humuulizi mwenyewe direct?
Au ni ndio wale wale? wa shule za kusomea ujinga?
You are right.Tapeli
Nimekuelewa sana tena sana.Waache tu, hawana cha kukosoa inabidi wajaribu kuni attack mimi binafsi kwa kuni provoke. kwa kuwa hawaelewi wafanye nini zaidi, hawaa hoja, ni wakukubaliwa tu kila walisemalo. Waache wajifurahishe nafsi zao.
Umeandika kwa kirefu lkn upupu mtupu... Huelew ata unacho ongeaAlikuvutisha?
Duniani watu ndio kwanza wanaruhusu bangi, wewe eti "mafegi" yake yalikukwaza.
Ukwazike wewe, anaevuta yeye halafu umlaumu yeye? Hujionimkuwa u poyoyo? Labda ungesema alikulazimisha uvute fegi. Lakini, hola.
Waambie serikali basi wasiuze na wasitishe kilimo cha tumbaku. Abdul anachoma mafegi yake kwa raha zake, wewe yanakuhusu nini?
Halafilo la kusema "mkipishana Kidogo basi anakutoa". Hilo ni uongo mkubwa usio na mfano, hivi wewe haswaa, una nini cha "kupishana" na Abdul. Mwenyewe kila siku anasema yeye anawapenda zaidi wasijua ili apate kuwafundisha kwa vitendo na anawapenda wanajuwa ili wafundishe wengine. Sijawahi kusikia mtu kapishana nae, labda uwe umeshakaa kwake zaidi ya miezi sita halafu uwasaliti wanafunzi wake. Hapo atakuambia "straight foresrd" kwaheri. Lakini hiyo ya kwenda tu mara moja au mbili, atakupa ukweli tu, ambao kama huupendi ukweli, mwenyewe utatafuta pakutokea.
Wadanganye wasimjuwa.
Tena wewe labda ulienda hujamkuta katoka kula, maana akitoka kula tu, utamkuta na cigar na black cofee yake, sio "mafegI", anaipuliza taratiiibu kama Fidel Castro, huku anamezea na na kahawa yake. Tena ukimshangaa anakwambia" usishangae, ukija usiku utanikuta napiga Nduum". Utajaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ndio lengo hilo, ukileta ujuba nakumwagia upupu. Ni vyema umelielewa hilo.Umeandika kwa kirefu lkn upupu mtupu... Huelew ata unacho ongea
Hiyo ofc yenu haina hadhi kuweka bango kutafuta watu eti tena wenye expeirence tafuten house girl muwape hizo kaziNdio lengo hilo, ukileta ujuba nakumwagia upupu. Ni vyema umelielewa hilo.
Unanchekesha.
Eti kazi za uhasibu hiv ww msomal koko unajua uhasibu wewe hizo operation zako hapo hata duka la Mangi linakuzid unataka uajir mhasibu....Asalaam Alaikum.
Fursa ya ajira.
Kuna nafasi za kazi za...
1) Mhasibu (Accountant).
2) Store Keeper.
3. Personal Assistant.
Anaeomba kazi awe ni mzoefu wa hiyo kazi na anafahamu kazi na sio wa kufundishwa kazi.
Kazi zetu kwa sasa zipo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo.
Kwa maelezo zaidi Wasiliana na Abdul Ghafur: Whatsapp 0625249605
Wala sihitaji hata lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wahi fursa hizo cocastic, ujanja kuwahi.
Kuna watu kule wametoka Europe itakua kinyangarakata kama wewe usieelewa hata kuandika.Hiyo ofc yenu haina hadhi kuweka bango kutafuta watu eti tena wenye expeirence tafuten house girl muwape hizo kazi
Mnatutangazia ili tujue nayie mna ofc kumbe mavi matupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahAtaishia kutafunwa tu na huyo babu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi jaman uwiiiiiiihUlitaka ukatafunwe wewe? Kheee! unanshangaza! ni wale wale nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasikia alisema mtoto ukimpa uji hataki,unamenya yai hataki basi mzabue kofi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni kipoyoyo kimoja kinachong'ang'ania kuusukuma mbuyu na kuishia kutingisha makalio tu. Huku jasho linakutoka unajidanya kuwa mbuyu umesogea.
Mm kwel nilishafika apo kutokana na matangazo ya msomali apa nikajua bas ni ofcs kumbe ushuzi mtupu hv kwel na elimu yangu nikae na msomali uchwara apo si bora niende kwenye Duka la mangi atleast lina formalitiesKuna watu kule wametoka Europe itakua kinyangarakata kama wewe usieelewa hata kuandika.
Wewe nilikwambia hapo juu, hata u house boy wa Abdul huuwezi. Upo zero kabisa.