Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
Yeyote aombe. Awe kijana, mzee, mwanamme mwanamke mradi awe umri wa kufanya kazi unaokubalika kisheria.Mkuu umri unaachaje kuna wazeee naona wanatak ajira
Poa mkuuuYeyote aombe. Awe kijana, mzee, mwanamme mwanamke,mradi awe umri wa kufanya kazi unaokubalika kisheria.
Uzee dawa.
Tumejaribu imekuwa ngumu sana kwetu. Sisi ni taasisi inayoanza kazi zake, inabidi tupate wazoefu ili wa set precedence ya procedures and policies. Tumeshachukua vijana watatu nyakati tofauti, tena wote ni wahitimu waliosomea fani hizo lakini ikawa ngumu sana sana. Ni mtihani.Mkuu kwa kazi kama store keeper na personal assistant zinatrainika hata mtu akikosa uzoefu na ubobezi.
Wape nafasi vijana
Mnalipa sh ngapi kwa mhasibu?Nafasi mpya kama zilivyoelezwa hapo juu, zipo. whatsapp 0625249605.
Sisi hatulipi kwa kuwa tu anaitwa mhasibu, tunalipa kwa uwezo wa kazi yako, nidhamu yako ya kazi, ujuzi na ueledi wako wa kutatua changamoto za kazini, miiko ya kazi yako, ubunifu wa kazi zako"performance-based not title based", the better earnings for the better performers, the poor earnings for the poor performers.Mnalipa sh ngapi kwa mhasibu?
Acha siasa, weka details za kampuni yako watu tuijue kiundani.Sisi hatulipi kwa kuwa tu anaitwa mhasibu, tunalipa kwa uwezo wa kazi yako, nidhamu yako ya kazi, ujuzi na ueledi wako wa kutatua changamoto za kazini, miiko ya kazi yako, ubunifu wa kazi zako"performance-based not title based", the better earnings for the better performers. the poor earnings for the poor performers.
Shaka hiloSisi hatulipi kwa kuwa tu anaitwa mhasibu, tunalipa kwa uwezo wa kazi yako, nidhamu yako ya kazi, ujuzi na ueledi wako wa kutatua changamoto za kazini, miiko ya kazi yako, ubunifu wa kazi zako"performance-based not title based", the better earnings for the better performers. the poor earnings for the poor performers.
Kaa Vizuri Wasiwasi Ndiyo Akili
Jiwe Alisema Unamzabua Kofi Mtoto Utaona Atakavyobugia Ujihujaandika hiyo ni kampuni au kiwanda gani? hujaweka address yenu yaani ni namba ya whatsapp tu watu watumie kuombea kazi ....mbona kama kuna harufu ya utapeli mkubwa hapa
Hakika mkuu... bora tutoe tahadhari mapema tu ili mtu akipigwa asilalamikeJiwe Alisema Unamzabua Kofi Mtoto Utaona Atakavyobugia Uji
Kaa Vizuri Wasiwasi Ndiyo Akili