Ajira za walimu 2013/2014 zasitishwa.

Ajira za walimu 2013/2014 zasitishwa.

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,389
Reaction score
674
Taarifa nilizopo hapa wizaran ni kwamba kutokana na ufinyu wa budget uliopo ndani ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuna taarifa ambazo zimeanza kuvuja chini chini kwamba kwa wahitimu walio maliza kozi hiyo kwa mwaka 2013/2014 ajira zao zitasitishwa kwa muda wa mwaka mmoja ,,
Taarifa hizo zinadai kwamba walimu wote walio maliza mwaka 2013 wataunganishwa na wale watakao maliza 2014 katika ajira zitakazo tolewa mwaka 2015 februry.
Baada ya kupatatetesi hizo nilifunga safari hadi ofisi husika na kukutana na mama mmoja ambaye naye ni muhusika wa swala hili.kwa vile ni mtu ambaye nina utani naye nikaona nijaribu kumdadisi ingawa hakutak kunieleza kwa uwazi lakini maelezo yake yalionesha kuwa taarifa hizi zina ukweli ndani yake.lakini pia alinidodosa kitu kwamba kauli zinazo tolewa na baadhi ya viongozi wa juu wa wozara hiyo ni mbinu ya kuendelea kuwa matumaini walimu hao ili kuepusha minong'ono na akaniambia pia mh.j. mhagama alitangaza mwezi april na itakapo fika april zitatolewa taarifa zingine.kwa mfano.alianza rais mwaka jana akasema ajira mwezi wa kumi mwaka jana,akaja majaliwa akasema mwezi wa kwanza mwaka huu,akaja naibu waziri akasema feb-march na sasa naibu mpya naye kasema april .
Na akasema kutokana na hali hiyo hadi sasa wizara haina hata pesa na kuwapeleka wanachuo wa certificate na diploma kwenye mafunzo kwa vitendo hali ambayo hadi sasa wakuu wa vyuo wameanza kulalamikia ,, na kuna taarifa zingine ambazo nitawajuza hivi punde nikikamilisha ninacho fuatilia.
NB:kwa wale walimu wanao suburi ajira ni bora muangalie alternative nyingine ya ku sign mikataba private schools huu ni ushauri wangu binafsi

UPDATES:

Kuna hatihati walimu wa certficate na diploma wasiende Field (Btp), kwani hadi sasa mchakato wa peda zao haueleweki huku, kkuhusu ajira za walimu maelezo yangu hapo juu tayari yapo confirmed ndivyo itakavyo kuwa,,ingawa kuna watu wamekuja na uongo kuwa ajira zitatoka leo,, habari hiyo ni uzushi na uongo mkubwa ,hakuna taarifa hiyo.
 
Ushauri mzuri, bt is it trusted information?

Mie mwezi huu ukipita nategemea kutafuta altenative.
 
Ushauri mzuri, bt is it trusted information?

Mie mwezi huu ukipita nategemea kutafuta altenative.
Mwanzo nilizisia kama tetesihapa ofsn na ujue kuna usiri mkubwa sana hapa wizarani kuhusu swala la ajira yaani hata watumish wengi hapa nao huwa hawajui ajira huwa zitapangwaje ndio mana nikafunga safari kwenda kudafisi ofc husika.
 
Mmmmmmh! haya xaxa ni majanga, km taarifa yako ina ukweli bac ni bora walimu hawa waliopo mitaani wabadilishe fani maana watadharaulika xana@ hii ndio BIG RESULTS NOW (BRN) posho kw mjumbe wa bunge la katiba n 300,000 kw cku ambayo ndio mshahara wa mwezi mzima kw mwalimu wa certificate!
 
Mbona hilo swala halieleweki, fedha hamna kwa namna gani ? bajeti si ilipitishwa ? serikali inapaswa ijitafakari katika kutekeleza mipango yake. Naiona hatari mbele. Wasipoweza kuajiriwa hao itakuwaje kwa wengine watakaoongezeka mwaka huu baada ya kumaliza vyuo ?
 
Mwanzo nilizisia kama tetesihapa ofsn na ujue kuna usiri mkubwa sana hapa wizarani kuhusu swala la ajira yaani hata watumish wengi hapa nao huwa hawajui ajira huwa zitapangwaje ndio mana nikafunga safari kwenda kudafisi ofc husika.

Kipaumbele hapa Tz ni siasa kuliko elimu.
Nnapata shida nnapo gundua hili jambo, kama ni kweli hela zimepelekwa kwenye katiba badala ya kuajiri walimu.
 
Kipaumbele hapa Tz ni siasa kuliko elimu.
Nnapata shida nnapo gundua hili jambo, kama ni kweli hela zimepelekwa kwenye katiba badala ya kuajiri walimu.

Na kuna uhusiano na zile bilion mi tatu na kitu zilizo potea hazina mkuu.
 
Swala hili halina ukweli wowote'
ajira ziko pale pale,ndugu walimu msiumize vichwa na kupoteza muda wenu kwa kutafakari tetesi ambazo hazina ukweli wowote'__ISHU NI KWAMBA PESA IKO MBIONI KUPATIKANA COZ SERIKALI IMESHAONGEA NA WAHISANI SO MUDA WOWOTE ULE PESA IKIPATIKANA MAMBO YATAJIPYA......(ACHANENI NA gutter information)
 
Mmmmmmh! haya xaxa ni majanga, km taarifa yako ina ukweli bac ni bora walimu hawa waliopo mitaani wabadilishe fani maana watadharaulika xana@ hii ndio BIG RESULTS NOW (BRN) posho kw mjumbe wa bunge la katiba n 300,000 kw cku ambayo ndio mshahara wa mwezi mzima kw mwalimu wa certificate!

Una umri gani?

Kwa mfano ungeandika sasa badala ya xaxa vidole vingepata mimba au?
 
Swala hili halina ukweli wowote'
ajira ziko pale pale,ndugu walimu msiumize vichwa na kupoteza muda wenu kwa kutafakari tetesi ambazo hazina ukweli wowote'__ISHU NI KWAMBA PESA IKO MBIONI KUPATIKANA COZ SERIKALI IMESHAONGEA NA WAHISANI SO MUDA WOWOTE ULE PESA IKIPATIKANA MAMBO YATAJIPYA......(ACHANENI NA gutter information)

Mkuu wala usijali tusuburi tu! Siku zingali bado utakielewa nilicho kiandika.
 
Mkuu wala usijali tusuburi tu! Siku zingali bado utakielewa nilicho kiandika.

mimi nimeskia walimu wa nasomo ya history yani arts wako mbioni kutoajiriwa madai ni kuwa ni wengi kwa hyo kipaumbele walimu wa science lakini nikaambiwa tatizo c walimu wengi bali ni serikali imetumia vibayasana haina pesa choka mbaya kwa hyo kinatumika kama kigezo hbr kutoka kwa mwalimu mzoefu akiskia kutoka watu wa wizarani wakiambizana
 
mda si mrafu nitaleta bandiko la nafasi za kazi ila tu kwa wale waliosoma sayansi tu (mathematcs ,physc na chemstry).kiswahili na kingereza mtanisamehe.
 
mda si mrafu nitaleta bandiko la nafasi za kazi ila tu kwa wale waliosoma sayansi tu (mathematcs ,physc na chemstry).kiswahili na kingereza mtanisamehe.

Acha kudanganya wenzio hakuna kitu kama hicho hapa wizarani huo ni uongo ulio kubuhu,. Ajiran ikitoka ni kwa walimu woote waa art pamoja na sayansi sababu hata hao wa art kuna shule hazina hazijajitosheleza kabisa mwl mmoja wa hist, anafundisha fm 1 to 4 na zaidi ya hapo walimu Wa cert na dip wanagharimiwa na serikali kwa vyuo vya seriakali.
 
Ngoja tuone mana kila m2 ana habari yake ipite march na April ndo ntajua Hii habar ni kweli
 
sasa tutamuamini nani kila mtu anazungumza la kwake, bora serikali itokea tamko tu watu tujiongeze.
 
Back
Top Bottom