LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,389
- 674
Taarifa nilizopo hapa wizaran ni kwamba kutokana na ufinyu wa budget uliopo ndani ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuna taarifa ambazo zimeanza kuvuja chini chini kwamba kwa wahitimu walio maliza kozi hiyo kwa mwaka 2013/2014 ajira zao zitasitishwa kwa muda wa mwaka mmoja ,,
Taarifa hizo zinadai kwamba walimu wote walio maliza mwaka 2013 wataunganishwa na wale watakao maliza 2014 katika ajira zitakazo tolewa mwaka 2015 februry.
Baada ya kupatatetesi hizo nilifunga safari hadi ofisi husika na kukutana na mama mmoja ambaye naye ni muhusika wa swala hili.kwa vile ni mtu ambaye nina utani naye nikaona nijaribu kumdadisi ingawa hakutak kunieleza kwa uwazi lakini maelezo yake yalionesha kuwa taarifa hizi zina ukweli ndani yake.lakini pia alinidodosa kitu kwamba kauli zinazo tolewa na baadhi ya viongozi wa juu wa wozara hiyo ni mbinu ya kuendelea kuwa matumaini walimu hao ili kuepusha minong'ono na akaniambia pia mh.j. mhagama alitangaza mwezi april na itakapo fika april zitatolewa taarifa zingine.kwa mfano.alianza rais mwaka jana akasema ajira mwezi wa kumi mwaka jana,akaja majaliwa akasema mwezi wa kwanza mwaka huu,akaja naibu waziri akasema feb-march na sasa naibu mpya naye kasema april .
Na akasema kutokana na hali hiyo hadi sasa wizara haina hata pesa na kuwapeleka wanachuo wa certificate na diploma kwenye mafunzo kwa vitendo hali ambayo hadi sasa wakuu wa vyuo wameanza kulalamikia ,, na kuna taarifa zingine ambazo nitawajuza hivi punde nikikamilisha ninacho fuatilia.
NB:kwa wale walimu wanao suburi ajira ni bora muangalie alternative nyingine ya ku sign mikataba private schools huu ni ushauri wangu binafsi
UPDATES:
Kuna hatihati walimu wa certficate na diploma wasiende Field (Btp), kwani hadi sasa mchakato wa peda zao haueleweki huku, kkuhusu ajira za walimu maelezo yangu hapo juu tayari yapo confirmed ndivyo itakavyo kuwa,,ingawa kuna watu wamekuja na uongo kuwa ajira zitatoka leo,, habari hiyo ni uzushi na uongo mkubwa ,hakuna taarifa hiyo.