MI ninaona serikali ni aheri musitoe ajira tu maana sio kitu cha kuficha tumewachoka .......yaan kila siku inakuwa kama kitenesi kinachodundadunda , istoshe tunasubiria ili mutoe huku hamtotuajiri wakati tumeacha mikataba yetu tukiwasubir nyie ..kama serikali hamuna hela wekeni wazi tu musiwe munarusha mawe kenye nyumba za viyoo,walimu tunaishi maisha mabayaaaa, kuanzia nyumba zetu hadi mshahara huku mbunge naye anataka alipwe hela yasikumoja ambayo ni sawa na mshara wa mwalimu,kwakweli namimi sasa hivi nimeamua kujivisha joho la kuutaka uparliament ,nimechoshwa kila ninayemtegemea atanisaidia ndo ana angalia kitambi chake kwanza ,serikali ya sasa hivi elimu yake inaelekea kubaya ,@yaan ukifeli we ndo ticha .. hongerenii