Ajira za walimu 36,000 kumwagwa mwaka huu

Ajira za walimu 36,000 kumwagwa mwaka huu

Ingekua busara zaidi endapo serikali itatoa majina mapema ili walimu watambue wanapopelekwa@
 
Anaposema walimu wa sayansi watapewa kipaumbele ina maana kuna baadhi ya wahitimu wa masomo yasiyo ya sayansi watakosa kazi si ndio, basi kazi ipo mtu kasubilia miezi kazaa leo anapigwa chini.
 
Anaposema walimu wa sayansi watapewa kipaumbele ina maana kuna baadhi ya wahitimu wa masomo yasiyo ya sayansi watakosa kazi si ndio, basi kazi ipo mtu kasubilia miezi kazaa leo anapigwa chini.

na hata kwenye kikao cha CWT juzi walisema waalimu wa sayansi kuanzia mwezi wa 7 wanapata nyongeza au mshahara mpya ikiwa ni tofauti kama ya bar 3 za kwenye daraja.
 
na hata kwenye kikao cha CWT juzi walisema waalimu wa sayansi kuanzia mwezi wa 7 wanapata nyongeza au mshahara mpya ikiwa ni tofauti kama ya bar 3 za kwenye daraja.

jidanganye
 
Haya haya hayaaaa, walimu mlichokuwa mnasubiri sasa kipo hewan. Nenden kwenye website husika majina yameanza kuonekana kuanzia saa 9 usiku. F.A.L .S .E
 
Vuteni subira najua mna hamu na mshahara huu wa mawazo na madeni zaidi
 
Ngoja tuone lkn hayo ni maneno tu ya viongoz wetu! cyo wawazi!
 
Mh kwa ambavyo wameweka msisitizo hivyo safari hii inaweza ikawa kweli isipokuwa hivyo itakuwa hawajatutendea haki kutuweka attention afu watuache kwenye mataa
 
Anaposema walimu wa sayansi watapewa kipaumbele ina maana kuna baadhi ya wahitimu wa masomo yasiyo ya sayansi watakosa kazi si ndio, basi kazi ipo mtu kasubilia miezi kazaa leo anapigwa chini.
Kinacho nishangaza eti shahada walimu elfu tano na gapi sijui .yaani walimu wa shahada robo tatunzima hawata pata ajira.
 
Taanza nia yetu yawakulimaa na wafanyakaziii! Enzi hiz pr scool!

Tanzania itajengwa na wenye moyo! Haya twenden kijijini tukajenge nchi yetu! Tudumishe azimio la arachuga! Lakin kwa hizo shahada elfu tano za kijijini unategemea tufikie malengo ya millenia kweli?

Haya twenden tufuate mdundo wa ngoma! Utaachaje kucheza ngoma ya bi kirembwe wakati stareh unapenda. Naahid kutokopa had mwisho wa mwezi!
 
Zsyretedtddrßrddu!dshggttzxsfffffffffffffffffrfreydus£uwDdr53awet
 
MI ninaona serikali ni aheri musitoe ajira tu maana sio kitu cha kuficha tumewachoka .......yaan kila siku inakuwa kama kitenesi kinachodundadunda , istoshe tunasubiria ili mutoe huku hamtotuajiri wakati tumeacha mikataba yetu tukiwasubir nyie ..kama serikali hamuna hela wekeni wazi tu musiwe munarusha mawe kenye nyumba za viyoo,walimu tunaishi maisha mabayaaaa, kuanzia nyumba zetu hadi mshahara huku mbunge naye anataka alipwe hela yasikumoja ambayo ni sawa na mshara wa mwalimu,kwakweli namimi sasa hivi nimeamua kujivisha joho la kuutaka uparliament ,nimechoshwa kila ninayemtegemea atanisaidia ndo ana angalia kitambi chake kwanza ,serikali ya sasa hivi elimu yake inaelekea kubaya ,@yaan ukifeli we ndo ticha .. hongerenii
 
Kinacho nishangaza eti shahada walimu elfu tano na gapi sijui .yaani walimu wa shahada robo tatunzima hawata pata ajira.

si ivo mdada,kaongeza na 12 ukijumlisha na elfu tano ni 17,vipi hesabu ulikua na sup nin?
 
waalimu nao wako kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

hivi hamna haki ya kuuliza jamani?
 
lakini naibu waziri alisema majina yatatoka ktktk ya mwezi huu, next wiki. walimu tuvute subira
 
Back
Top Bottom