aliyekupa wewe, ndiye kawanyima waoHaya,jiandaeni kwenda vijijini,huku mjini tuachien sisi watoto wa bcom,economics na law.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aliyekupa wewe, ndiye kawanyima waoHaya,jiandaeni kwenda vijijini,huku mjini tuachien sisi watoto wa bcom,economics na law.
Haya,jiandaeni kwenda vijijini,huku mjini tuachien sisi watoto wa bcom,economics na law.
Haya,jiandaeni kwenda vijijini,huku mjini tuachien sisi watoto wa bcom,economics na law.
Anaposema walimu wa sayansi watapewa kipaumbele ina maana kuna baadhi ya wahitimu wa masomo yasiyo ya sayansi watakosa kazi si ndio, basi kazi ipo mtu kasubilia miezi kazaa leo anapigwa chini.
na hata kwenye kikao cha CWT juzi walisema waalimu wa sayansi kuanzia mwezi wa 7 wanapata nyongeza au mshahara mpya ikiwa ni tofauti kama ya bar 3 za kwenye daraja.
Kinacho nishangaza eti shahada walimu elfu tano na gapi sijui .yaani walimu wa shahada robo tatunzima hawata pata ajira.Anaposema walimu wa sayansi watapewa kipaumbele ina maana kuna baadhi ya wahitimu wa masomo yasiyo ya sayansi watakosa kazi si ndio, basi kazi ipo mtu kasubilia miezi kazaa leo anapigwa chini.
Kinacho nishangaza eti shahada walimu elfu tano na gapi sijui .yaani walimu wa shahada robo tatunzima hawata pata ajira.