Mtu haajiri eti kwa sababu Familia yake masikini... hata hivyo ni vema waliojitolea wakazingatiwaYale yale! Kwani wakati huyo Jiwe akiwa Rais, huyo Samia alikuwa wapi? Na unadhani chanzo cha haya yote ni hayo majituu, au ni Hayati?...
Kujitolea hakujawahi kutangazwa awali kuwa ni kigezo cha kuajiriwa ualimu!! Wakitaka watangaze hivyo sasa kwa ajira za huko mbeleni maana wote watakuwa wanafahamu kigezo hicho. Kwa sasa utumike utaratibu wa siku zote wa kutoa kipaumbele aliyehitimu mapema.Mtu haajiri eti kwa sababu Familia yake masikini... hata hivyo ni vema waliojitolea wakazingatiwa
Dah! Mzee naye ametuachia Legacy ya aina gani hii sasa!! Enzi zile watu walikua wanaamua wakaripoti, au wapotezee! Leo hii wahitimu wanataka kutoana ngeu!!Nilishacomment kwenye post fulani hii ishu, hivi serikali inafikiri wahitimu wote wakiamua kujitolea hizo shule zitatosha?...
Wakuu wa shule wamewabeba ndgu Zhao wingine wamewatengenezea had I mahudhurio,waonekane walikuwa wanajitolea Kumbe hakuna.Kumekuwa na upendeleo wa dhahiri katika ajira za ualimu kwa siku za hivi karibuni. Utakuta imetangazwa ajira ya waalimu wa hesabu na fizikia lakini majina yakitoka unakuta wa Biology wamo...
Mkuu, kwa mfumo wetu wa elimu inajulikana kuwa mwenye matokeo ya juu akishindanishwa na mwenye matoke ya chini basi mwenye matokeo ya juu anashinda.Kwa suala la kuchuja waombaji 130,000 kujaza nafasi elfu 6 Lina ugumu kiasi chake.
Lazima TU utafute namna ya kupunguza watu kwa Lazima.
Ata Kama ni wewe mwajili,
Lazima ungetoa TU kipaumbele kwa waliojitolea Kwanza.
mtoa mada jalibu kuvaa viatu vya Mwajili, Ungekua wewe ungefanyaje
Why? Vigezo vya kishenzi.Mtu haajiri eti kwa sababu Familia yake masikini... hata hivyo ni vema waliojitolea wakazingatiwa
Sasa huoni kwamba waliojitolea kipindi hawakuombwa ni wazalendo kukuzidi wewe unaesubiri uitwe...K
Kujitolea hakujawahi kutangazwa awali kuwa ni kigezo cha kuajiriwa ualimu!! Wakitaka watangaze hivyo sasa kwa ajira za huko mbeleni maana wote watakuwa wanafahamu kigezo hicho. Kwa sasa utumike utaratibu wa siku zote wa kutoa kipaumbele aliyehitimu mapema.
Ndio vinavyotumika sasa na huna unaweza fanya kupinga mana muajiri ndio anachagua anaemtakaWhy? Vigezo vya kishenzi.
Hana mamlaka hayo y kuchagua anayemtaka serikalini. Kuna criteria in place..Ndio vinavyotumika sasa na huna unaweza fanya kupinga mana muajiri ndio anachagua anaemtaka