Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Hizo criteria moja wako ni uzalendo ambao unapimwa kwa kujitolea au we unajua zipi?Hana mamlaka hayo y kuchagua anayemtaka serikalini. Kuna criteria in place..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo criteria moja wako ni uzalendo ambao unapimwa kwa kujitolea au we unajua zipi?Hana mamlaka hayo y kuchagua anayemtaka serikalini. Kuna criteria in place..
Hujafanya interview taasisi za serikali nyamaza tu hujui loloteDah kuna meng sn kweny kada ya ualimu hasa kuchangua watu weny sifa moja labda wamepishana miaka ya kumaliza.
Kada zingne ukienda kweny interview unapigwa maswali ukitoka unajua kabisa nimekunya au bahati kutoka kwa Mungu.
In shot hakuna mtu anaeweza kufanya kaz bila malipo hata kwa mwez mmoja, yaani atoke kwake/kwao aende shule, arudi kweke kula nn, pesa ya sabun anitoa wp? Probably waseme wale walio kuwa wanalipwa kidogo.THIS IS THE GAPE OF CORRUPTION OVER.Yale yale! Kwani wakati huyo Jiwe akiwa Rais, huyo Samia alikuwa wapi? Na unadhani chanzo cha haya yote ni hayo majituu, au ni Hayati?
Mimi naunga mkono kutumika kwa hiki kigezo cha kujitolea. Walau hao vijana na wenyewe wataona Serikali imetambua mchango wao. Na uzuri karibia wote wanatokea familia maskini! Hivyo wakipata hizo ajira, familia zao zitapata ahueni ya kimaisha.
Kazi ya ualimu ni wito. Kama siyo wito huwezi kujitolea maana walimu wenyewe kazi hiyo ni wito. Mwalimu anafanya kazi kwa ujira mdogo sana. Hana posho hata akiwa anakwenda kusimamia mitihani atalipwa kubwa sana elfu tano. Sasa kweli kama siyo kujitolea utaweza kweli. Maana wenzako Kikao kimoja tu analipwa 300k na mapoint, Huyo kweli unaweza kumwambia akajitolee kufundisha??. WACHA WATOTO WALIOJITOLEA WAPEWE AJIRA BHANA. TENA HAO WATAFANYA KAZI KAMA MAPUNDA MAANA ANAJUA ATAPATA UJIRA WAKE MWISHO WA MWEZI.K
Kujitolea hakujawahi kutangazwa awali kuwa ni kigezo cha kuajiriwa ualimu!! Wakitaka watangaze hivyo sasa kwa ajira za huko mbeleni maana wote watakuwa wanafahamu kigezo hicho. Kwa sasa utumike utaratibu wa siku zote wa kutoa kipaumbele aliyehitimu mapema.
Baadhi ya hawa walimu wanalipwa posho ya laki 1 na nusu na Taasisi ya Serikali inayoitwa TAESA kwa mkataba wa mwaka mmoja.In shot hakuna mtu anaeweza kufanya kaz bila malipo hata kwa mwez mmoja, yaani atoke kwake/kwao aende shule, arudi kweke kula nn, pesa ya sabun anitoa wp? Probably waseme wale walio kuwa wanalipwa kidogo.THIS IS THE GAPE OF CORRUPTION OVER.
Kumekuwa na upendeleo wa dhahiri katika ajira za ualimu kwa siku za hivi karibuni. Utakuta imetangazwa ajira ya waalimu wa hesabu na fizikia lakini majina yakitoka unakuta wa Biology wamo!
Utakuta imetangazwa waalimu wanaotakiwa ni wale waliomaliza masomo mwisho 2017, lakini unakuta waliomaliza hadi 2018 wamo!! Sasa hayo ni makosa ya upendeleo ya dhahiri na yakilalamikiwa wakubwa wanakosa mahali pa kuficha nyuso zao!! Unakuta jina moja limetoka zaidi ya m,ara moja, hapo ujue nafasi imetunzwa kinyemela ya mtu fulani
Sasa imebuniwa njia rahisi ya kupendelea ambayo mtu hatalazimika kuficha uso wake!! Kwanza huwezi kuweka sheria ya mchezo wakati wa mchezo ukiwa umeshafika.
Ilipaswa itangazwe mapema baada tu ya ajira zilizopita kuwa safari ijayo tutatumia kigezo cha kujitolea kama sharti mojawapo la kupata ajira ya ualimu.
Inawezekana walioandaliwa kupendelewa walipewa siri hii mapema na wakatafuta hizo nafasi za kujitolea ili tu waje wawe na sifa ya ziada kuliko wenzao. Lakini pia hapa utafunguka mlango mkubwa wa rushwa. Watu watapata barua za kujitolea wakati siyo.
Ushauri wangu: Kigezo hiki cha kujitolea KISITUMIKE awamu hii maana wengi walikuwa hawakijui. Ila kama itaonekana ni cha muhimu, basi itangazwe SASA kuwa safari IJAYO zikitokea nafasi za ualimu, kigezo hicho kitatumika.
Halafu uwekwe utaratibu wa wazi na Tamisemi wa kuomba hizo nafasi za kujitolea kama nafasi za ajira zinavyoombwa na majina yatoke kwa wazi na shule walizopangiwa kujitolea ziwe wazi. Hii itapunguza rushwa na udanganyifu.
Utaratibu mzuri wa kugawa ajira utumike ule ule uliokuwa unatumika. Aliyehitimu kwanza anafikiriwa kwanza. Haiingii akilini mtu aliyehitimu 2019 akapata ajira na mtu aliyehitimu mapema zaidi kama 2017 au 2018 akakosa kwa masomo yale yale.
Rais wetu tunakuomba ulifuatilie hilo maana hao uliowapa dhamana wamekuja na vigezo ambavyo wengine waliandaliwa navyo kwa siri!
Chadema kwenye Ubunge na Udiwani wa Viti Maalum, NGONO ndio kigezo kikubwa cha kuteuliwa!
Hapo wakina sisi tusio na maisha tunagombania sh. mia ili ikufikishe kesho nyingine tunawasindikiza waliotoa rushwa na kujitolea. Haiwezekani familia inalia njaa alafu eti niseme nikajitolee, familia yangu nani atailisha? Nipo na bi mkubwa tu alafu hayupo sawa, kwahiyo jukumu la kutafta msosi ni langu. Nikijitolea tutakula nini?????Katika pitapita zangu naambiwa ajira za hivi karibuni zilizotangazwa rushwa inayotembea ndani kwa ndani sio za dunia hii
hahaha! haujanielewa hp mkuu ungenielewa usinge comment nimemaanisha kuselect mtu mwenye same qualification ila wametofautiana miaka na hku pengine watu wakiwa hvy wanaitwa kweny interview kila mtu ajitete nafasi.Hujafanya interview taasisi za serikali nyamaza tu hujui lolote
Hiyo VAT kwenye Employment Tax anailipa nani ?Poleni. Nimejaribu kufanya assesment na kuona kuwa mataifa mengi Duniani, ikiwemo Tanzania yanaweza kuongeza ajira mpya kwa kuweka kitu kinachoitwa 'employment tax'. Hili litawezekana iwapo nchi itaamua kuongeza Value added tax kwa asilimia mbili pesa ambayo itawezesha kupata mapato ya kulipia mishahara kwa watumishi wapya.
Mfano, kwa nchi kama Tanzania yenye GDP ya 65B USD, Ongezeko la 2% VAT litaongeza mapato ambayo yatakuwa around Trilioni 1.2. Iwapo utakuwa na wafanyakazi wapya laki moja kila mmoja akalipwa kwa rate ya Tsh milioni moja kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 12m. So kwa haraka ongezeko la VAT ya 2% ambalo tunaliita employment tax linaweza kuzalisha ajira mpya laki moja kwa sekta nyeti na sekta zisizo nyeti hivyo kupunguza tatizo la ajira.
Mkuu pole na upo sahii Sana, nashangaa Sana niliwai kuwa serikalin but wakati tunapata ajira ilikua watuma maombi tu then wakutana na ajira yako ikiwa imechapishwa wapi waenda pale wizara husika kulingana na fan yako leo MWENDAZAKE kaondoka kwa kuharibu taratibu na mifumo yote,huyu mzee mungu anamuona popote alipo,by the way binafsi niliamua kuondoka huko kwa sababu binafsi hasa mshahara,Hapo wakina sisi tusio na maisha tunagombania sh. mia ili ikufikishe kesho nyingine tunawasindikiza waliotoa rushwa na kujitolea. Haiwezekani familia inalia njaa alafu eti niseme nikajitolee, familia yangu nani atailisha? Nipo na bi mkubwa tu alafu hayupo sawa, kwahiyo jukumu la kutafta msosi ni langu. Nikijitolea tutakula nini?????
Anyway, sioni umhimu wa kutuma hayo maombi na mpaka sasa sijatuma na situmi nipoteze 5000 yangu ya application, labda ingekuwa bure ndipo ningetuma.
Hapo wakina sisi tusio na maisha tunagombania sh. mia ili ikufikishe kesho nyingine tunawasindikiza waliotoa rushwa na kujitolea. Haiwezekani familia inalia njaa alafu eti niseme nikajitolee, familia yangu nani atailisha? Nipo na bi mkubwa tu alafu hayupo sawa, kwahiyo jukumu la kutafta msosi ni langu. Nikijitolea tutakula nini?????
Anyway, sioni umhimu wa kutuma hayo maombi na mpaka sasa sijatuma na situmi nipoteze 5000 yangu ya application, labda ingekuwa bure ndipo ningetuma.
Any one who buys anything.Hiyo VAT kwenye Employment Tax anailipa nani ?
But, It's collected by companies on behalf of TRA. Any company with or more than 4 employees is liable by law to register for the VAT.Any one who buys anything.
Sizani kujitolea ni mfumo rasimi ambao Serikali inaweza Kuwa na data za wanaojitolea, hivyo itatoa mwanya wa rushwa na sintofamu nyingi, ni vyema wizara ikatumia mfumo wake wa kielentroniki kutoa ajira.Kumekuwa na upendeleo wa dhahiri katika ajira za ualimu kwa siku za hivi karibuni. Utakuta imetangazwa ajira ya waalimu wa hesabu na fizikia lakini majina yakitoka unakuta wa Biology wamo!
Utakuta imetangazwa waalimu wanaotakiwa ni wale waliomaliza masomo mwisho 2017, lakini unakuta waliomaliza hadi 2018 wamo!! Sasa hayo ni makosa ya upendeleo ya dhahiri na yakilalamikiwa wakubwa wanakosa mahali pa kuficha nyuso zao!! Unakuta jina moja limetoka zaidi ya m,ara moja, hapo ujue nafasi imetunzwa kinyemela ya mtu fulani
Sasa imebuniwa njia rahisi ya kupendelea ambayo mtu hatalazimika kuficha uso wake!! Kwanza huwezi kuweka sheria ya mchezo wakati wa mchezo ukiwa umeshafika.
Ilipaswa itangazwe mapema baada tu ya ajira zilizopita kuwa safari ijayo tutatumia kigezo cha kujitolea kama sharti mojawapo la kupata ajira ya ualimu.
Inawezekana walioandaliwa kupendelewa walipewa siri hii mapema na wakatafuta hizo nafasi za kujitolea ili tu waje wawe na sifa ya ziada kuliko wenzao. Lakini pia hapa utafunguka mlango mkubwa wa rushwa. Watu watapata barua za kujitolea wakati siyo.
Ushauri wangu: Kigezo hiki cha kujitolea KISITUMIKE awamu hii maana wengi walikuwa hawakijui. Ila kama itaonekana ni cha muhimu, basi itangazwe SASA kuwa safari IJAYO zikitokea nafasi za ualimu, kigezo hicho kitatumika.
Halafu uwekwe utaratibu wa wazi na Tamisemi wa kuomba hizo nafasi za kujitolea kama nafasi za ajira zinavyoombwa na majina yatoke kwa wazi na shule walizopangiwa kujitolea ziwe wazi. Hii itapunguza rushwa na udanganyifu.
Utaratibu mzuri wa kugawa ajira utumike ule ule uliokuwa unatumika. Aliyehitimu kwanza anafikiriwa kwanza. Haiingii akilini mtu aliyehitimu 2019 akapata ajira na mtu aliyehitimu mapema zaidi kama 2017 au 2018 akakosa kwa masomo yale yale.
Rais wetu tunakuomba ulifuatilie hilo maana hao uliowapa dhamana wamekuja na vigezo ambavyo wengine waliandaliwa navyo kwa siri!
Sio kweli , Unasajiliwa kwenye VAT kama mauzo yako yanafikia Milioni mia moja kwa Mwaka.But, It's collected by companies on behalf of TRA. Any company with or more than 4 employees is liable by law to register for the VAT.
Ni kampuni ngapi zinafanya hivyo ?
Kampuni siku hizi zinaajiri watu wachache ili zisikidhi kigezo cha kulipa VAT halafu waajiriwa wengine wote wanafanya kazi kama vibarua.
Mimi naliwaje? Kama unafikiri naliwa, mtume mkeo au mamaako anitembelee!kumbe!!!nadhan nawe ni miongoni mwa walioliwa