Ajira za Walimu: Kigezo cha kujitolea ni kichaka cha rushwa, upendeleo na udanganyifu. Rais Samia kimulike

Dah kuna meng sn kweny kada ya ualimu hasa kuchangua watu weny sifa moja labda wamepishana miaka ya kumaliza.

Kada zingne ukienda kweny interview unapigwa maswali ukitoka unajua kabisa nimekunya au bahati kutoka kwa Mungu.
Hujafanya interview taasisi za serikali nyamaza tu hujui lolote
 
In shot hakuna mtu anaeweza kufanya kaz bila malipo hata kwa mwez mmoja, yaani atoke kwake/kwao aende shule, arudi kweke kula nn, pesa ya sabun anitoa wp? Probably waseme wale walio kuwa wanalipwa kidogo.THIS IS THE GAPE OF CORRUPTION OVER.
 
Kazi ya ualimu ni wito. Kama siyo wito huwezi kujitolea maana walimu wenyewe kazi hiyo ni wito. Mwalimu anafanya kazi kwa ujira mdogo sana. Hana posho hata akiwa anakwenda kusimamia mitihani atalipwa kubwa sana elfu tano. Sasa kweli kama siyo kujitolea utaweza kweli. Maana wenzako Kikao kimoja tu analipwa 300k na mapoint, Huyo kweli unaweza kumwambia akajitolee kufundisha??. WACHA WATOTO WALIOJITOLEA WAPEWE AJIRA BHANA. TENA HAO WATAFANYA KAZI KAMA MAPUNDA MAANA ANAJUA ATAPATA UJIRA WAKE MWISHO WA MWEZI.
 
In shot hakuna mtu anaeweza kufanya kaz bila malipo hata kwa mwez mmoja, yaani atoke kwake/kwao aende shule, arudi kweke kula nn, pesa ya sabun anitoa wp? Probably waseme wale walio kuwa wanalipwa kidogo.THIS IS THE GAPE OF CORRUPTION OVER.
Baadhi ya hawa walimu wanalipwa posho ya laki 1 na nusu na Taasisi ya Serikali inayoitwa TAESA kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Wengine wamekuwa wakilipwa na shule kiasi walichokubaliana. Na wengine wa jirani na shule wamekuwa wakijitolea bure, ili tu siku moja wakumbukwe. Hawa ndiyo ambao kwa mtazamo wangu, nilitamani wapewe kipaumbele.
 


Mimi naona ajira wasijali umemaliza lini wajali kipaji cha mwalimu pekee. Vilevile nashauri walimu msisubiri ajira za serikali pekee tafuteni namna ya kufanya miradi au jiingizeni sehemu nyingine kama kilimo cha kisasa, media, teknologia na ikishindikana tafuteni kazi nje ya nchi. Tafuteni scholarship za kujiendeleza zaidi kama ilivyokuwa zamani. Piganeni msisubiri serikali
 
Poleni. Nimejaribu kufanya assesment na kuona kuwa mataifa mengi Duniani, ikiwemo Tanzania yanaweza kuongeza ajira mpya kwa kuweka kitu kinachoitwa 'employment tax'. Hili litawezekana iwapo nchi itaamua kuongeza Value added tax kwa asilimia mbili pesa ambayo itawezesha kupata mapato ya kulipia mishahara kwa watumishi wapya.
Mfano, kwa nchi kama Tanzania yenye GDP ya 65B USD, Ongezeko la 2% VAT litaongeza mapato ambayo yatakuwa around Trilioni 1.2. Iwapo utakuwa na wafanyakazi wapya laki moja kila mmoja akalipwa kwa rate ya Tsh milioni moja kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 12m. So kwa haraka ongezeko la VAT ya 2% ambalo tunaliita employment tax linaweza kuzalisha ajira mpya laki moja kwa sekta nyeti na sekta zisizo nyeti hivyo kupunguza tatizo la ajira.
 
Katika pitapita zangu naambiwa ajira za hivi karibuni zilizotangazwa rushwa inayotembea ndani kwa ndani sio za dunia hii
Hapo wakina sisi tusio na maisha tunagombania sh. mia ili ikufikishe kesho nyingine tunawasindikiza waliotoa rushwa na kujitolea. Haiwezekani familia inalia njaa alafu eti niseme nikajitolee, familia yangu nani atailisha? Nipo na bi mkubwa tu alafu hayupo sawa, kwahiyo jukumu la kutafta msosi ni langu. Nikijitolea tutakula nini?????

Anyway, sioni umhimu wa kutuma hayo maombi na mpaka sasa sijatuma na situmi nipoteze 5000 yangu ya application, labda ingekuwa bure ndipo ningetuma.
 
Hujafanya interview taasisi za serikali nyamaza tu hujui lolote
hahaha! haujanielewa hp mkuu ungenielewa usinge comment nimemaanisha kuselect mtu mwenye same qualification ila wametofautiana miaka na hku pengine watu wakiwa hvy wanaitwa kweny interview kila mtu ajitete nafasi.
sijasema hamna rafu kweny interview mkuu najua nimefanya interview hko serikalini naelewa pia.
mkuu unaonekana na ww nimuhanga haupiti kweny interview nn unajua kwakua watu wana watu wao, usijali na ww utapata tu.
 
Hiyo VAT kwenye Employment Tax anailipa nani ?
 
Mkuu pole na upo sahii Sana, nashangaa Sana niliwai kuwa serikalin but wakati tunapata ajira ilikua watuma maombi tu then wakutana na ajira yako ikiwa imechapishwa wapi waenda pale wizara husika kulingana na fan yako leo MWENDAZAKE kaondoka kwa kuharibu taratibu na mifumo yote,huyu mzee mungu anamuona popote alipo,by the way binafsi niliamua kuondoka huko kwa sababu binafsi hasa mshahara,
Ila leo niseme kwa tahalifa nilizo nazo RUSHWA ni kubwa mno kwa ajira hizi , wenda ni RUSHWA za pesa, ngono n.k but all ni all mpaka Sasa taifa halipo sawa mkuu upande wa RUSHWA,bora zisitishwe zote na kuangalia namna NYINGINE,not fair
 
Kuna mwanangu amehangaika sana kutafuta post kwa ajili ya kujitolea lakin wapi mpaka leo hajawahi pata sijui akiisikia hii taarifa atakuwa katika hali gani huko aliko
 
Any one who buys anything.
But, It's collected by companies on behalf of TRA. Any company with or more than 4 employees is liable by law to register for the VAT.

Ni kampuni ngapi zinafanya hivyo ?

Kampuni siku hizi zinaajiri watu wachache ili zisikidhi kigezo cha kulipa VAT halafu waajiriwa wengine wote wanafanya kazi kama vibarua.
 
Hivi ni kigezo au sifa ya ziada nielewavyo serikali kutumia uzoefu kama sifa ya ziada baada ya mtu kukidhi kigezo kukuajiri sio jambo jipya... Ila kama kuna namna imefanyika uzoefu ukawa kama kigezo hapo ndio shida inapoanzia
 
Sizani kujitolea ni mfumo rasimi ambao Serikali inaweza Kuwa na data za wanaojitolea, hivyo itatoa mwanya wa rushwa na sintofamu nyingi, ni vyema wizara ikatumia mfumo wake wa kielentroniki kutoa ajira.
 
Sio kweli , Unasajiliwa kwenye VAT kama mauzo yako yanafikia Milioni mia moja kwa Mwaka.
 
Kwa mtu mwenye akili timamu anaelewa kuwa kigezo Cha uzoefu kimewekwa ili kuwachagua watu fulani tu.

Kwanza ukiingia kwenye application system,inakuletea mkoa, halmashauri na shule,Kuna shule baadhi tu ndio zipo kwa ajili ya waliojitolea.
Huu ni ujinga sana.
Wanatuona wahitimu wote kama mburula tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…