Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

Status
Not open for further replies.
tumia akili mtoa maada shule nyingi zinazopokea wanafunzi wenye mahitaji maalumu i.e walemavu zipo mjini na ndio maana mijitu mingi ya sekuco imepangwa mjini

Kuna tofauti kati ya mada na maada......

Hii sio maada ni mada....

You are too low!!!!
 
Wewe ndio kid usiyeijua lugha ya malkia...

hapo hukupaswa kutumia 'your' ulipaswa kusema ' you are kid'

Kama hata hivi vidogo vinakushinda vikubwa utaweza? Kujitapa kama watoto kichwani empty set...

You are too low!!!!

nadhani communication skills ulikimbia chuoni
 
umepangiwaa wapi mwalimu naona povu linakutoka

hope from TEKU

Nikiwa TEKU au UDSM kuna tofauti ya mshahara?

BTW Mimi sio mwalimu nakushangaa unaejifanya mjuaji wakati hujui kitu..

Watoto wa maskini mliolimbukia maisha ndivyo mlivyo porojo nyiingi kichwani zero minded...

Poor you!!!
 
tumia akili mtoa maada shule nyingi zinazopokea wanafunzi wenye mahitaji maalumu i.e walemavu zipo mjini na ndio maana mijitu mingi ya sekuco imepangwa mjini
kwa hiyo mkuu hiyo mijitu imeenda kufundisha mijitu pia??

hivi kwanini udsm mnaiona kama roho flani hivi ambayo bila hiyo taifa lisingekuwepo?

hivi unajua mwaka 1986 hali ya UDSM ilikuwa kama shule za kata uzionazo sasa??

its just the matter of transition, transformation and furthermore...

sasa tunahitaji wasomi wenye mabadiliko chanya kwenye jamii, sio wapiga domo na wavaa surualia 50% of their bu..tocks!!!

shame on us TANZANIA students!!
 
safi sana mkuu mijitu mishamba kweli usiangalie chuo angalia elimu uliyopata inakusaidiaje au unaitumiaje kwa maisha yako
 
Kumbe una sifu chuo chako!unaona sasa akili ya wanafunzi wa chuo chako ambacho zao lake ni wewe?kwa hiyo hao ndio walimu waliotoka chuo chako ambao watajenga hoja kama wewe!hongera!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Wewe ndio kid usiyeijua lugha ya malkia...

hapo hukupaswa kutumia 'your' ulipaswa kusema ' you are kid'

Kama hata hivi vidogo vinakushinda vikubwa utaweza? Kujitapa kama watoto kichwani empty set...

You are too low!!!!

mh!! unajitahidi kukalili!!!!
 
safi sana mkuu mijitu mishamba kweli usiangalie chuo angalia elimu uliyopata inakusaidiaje au unaitumiaje kwa maisha yako

kwa kweli mkuu, university of dar es salaam, surely ni chuo kikubwa sana ambacho kinatakiwa kiwe na impact kubwa sana katika taifa hili kwa kutoa watu wenye mawazo na matendo endelevu yenye msaada kwa jamii yetu na hata ya nje pia..

lakini toka kizazi hiki kiingie, watu wamekuwa na mambo ya ajabu kweli kweli..

kuanzia udom, udsm, muccobs, saut na vyuo vingine, intellectuals na experts hawa wamekuwa waongeaji na wapondanaji tu mitandaoni...

hakuna jambo la maana hasa wanalofanya zaidi ya kutupiana maneno ya kwenye khanga tu..

UDSM imebaki majengo tu...! wengi wa waliomo, wamekuwa wakiangalia wengine na kuwasengenya tuuu kila siku!

sasa kama wewe uko UDSM tayari, fanya basi kitu cha tofauti tukuone uko different na yule wa SUA ama SAUT!!!!!!!

KELELE NYIINGI! KWANI TUNAIMBA TAARABU VYUONI JAMANI!!!
 
Iv wasomi wazima mnaanza kubishana kuhusu elimu ya nchi yetu? Are u blind al?
 
Mkuu nyumbani kuna jipya gani kule?

Nimepamiss walahi
 
Wewe ndio kid usiyeijua lugha ya malkia...

hapo hukupaswa kutumia 'your' ulipaswa kusema ' you are kid'

Kama hata hivi vidogo vinakushinda vikubwa utaweza? Kujitapa kama watoto kichwani empty set...

You are too low!!!!

hehehahahah lugha ya malkia si mchezo,
wengine wanajua kuongea tu ila ukiwaambia waandike wanachokiongea ndio utashangaa.
 
mwambie huyo! hata UDOM watu wa special needs wamepangwa mjn wote sababu ni hyo shule znazo wahusu zpo town.
 
Wewe ndio kid usiyeijua lugha ya malkia...

hapo hukupaswa kutumia 'your' ulipaswa kusema ' you are kid'

Kama hata hivi vidogo vinakushinda vikubwa utaweza? Kujitapa kama watoto kichwani empty set...

You are too low!!!!

hata wewe umekosea...huwezi sema you are kid bhana! Sasa km graduate anaboronga sentensi hv hao wamasai wa Simanjiro watafanyaje? By the way...soma seku..nini sijui, au ud haichange salary rate...ni flat...i thnk wanaoenda vijijini wakiwa positive wana advantage kubwa ya kukua kiuchumi! Hyo special needs mbona hata UDOM ipo? Au hyo ya lushoto inaviungo vya pilau? Nlijuaga watoto wa nursery ndio wanajibrag na vishule walivyosoma kumbe hadi graduates? NB: MKIENDA NA MENTALITY HYO YA KIS.H.ENZI HUKO MAKAZINI HATA KM NI MJINI...MTAOMBA KUHAMA! Jichungeni midomo yenu.
 
Wewe ndio kid usiyeijua lugha ya malkia...

hapo hukupaswa kutumia 'your' ulipaswa kusema ' you are kid'

Kama hata hivi vidogo vinakushinda vikubwa utaweza? Kujitapa kama watoto kichwani empty set...

You are too low!!!!

Hata wewe umekosea...huwezi sema you are kid bhana! Sasa km graduate anaboronga sentensi hv hao wamasai wa Simanjiro watafanyaje? By the way...soma seku..nini sijui, au ud haichange salary rate...ni flat...i thnk wanaoenda vijijini wakiwa positive wana advantage kubwa ya kukua kiuchumi! Hyo special needs mbona hata UDOM ipo? Au hyo ya lushoto inaviungo vya pilau? Nlijuaga watoto wa nursery ndio wanajibrag na vishule walivyosoma kumbe hadi graduates? NB: MKIENDA NA MENTALITY HYO YA KIS.H.ENZI HUKO MAKAZINI HATA KM NI MJINI...MTAOMBA KUHAMA! Jichungeni midomo yenu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…