kwa kweli mkuu, university of dar es salaam, surely ni chuo kikubwa sana ambacho kinatakiwa kiwe na impact kubwa sana katika taifa hili kwa kutoa watu wenye mawazo na matendo endelevu yenye msaada kwa jamii yetu na hata ya nje pia..
lakini toka kizazi hiki kiingie, watu wamekuwa na mambo ya ajabu kweli kweli..
kuanzia udom, udsm, muccobs, saut na vyuo vingine, intellectuals na experts hawa wamekuwa waongeaji na wapondanaji tu mitandaoni...
hakuna jambo la maana hasa wanalofanya zaidi ya kutupiana maneno ya kwenye khanga tu..
UDSM imebaki majengo tu...! wengi wa waliomo, wamekuwa wakiangalia wengine na kuwasengenya tuuu kila siku!
sasa kama wewe uko UDSM tayari, fanya basi kitu cha tofauti tukuone uko different na yule wa SUA ama SAUT!!!!!!!
KELELE NYIINGI! KWANI TUNAIMBA TAARABU VYUONI JAMANI!!!