hope umeelewa secretary
Tumeshakugundua huna lolote...
Nimekupa ofa njoo foreign affairs idara ya Asia ntakupokea halafu urudi hapa useme ni mfagizi..secretary au nani...
Kwa taarifa yako sijasoma hivyo vyuo unavyotambia ambavyo vinakukataa kwa jinsi ulivyo mbovu na mchovu ktk uandishi wa maneno ya kiingereza mepesi kabisa....
Kufeli form four kusikufanye uwe hater jipange utatoka tu..
nije kufanya nini secretary .....?
by the way nishakusomaa hupendagi kushindwa kuna thread kule MMU umekimbizwa na Nyani ghabu ukakimblia ooooh wabeba box mara sibishani na mafukaraaaaa
kubwa jingaaa
Jibu hoja acha viroja nipo hapa kurekebisha wabovu kama wewe
secretary utamrekebishaa nani
c.h.I.z.I ww
We nimeamini ni mtoto ...
Haiwezekani graduate wa chuo ukashindwa kuandika misamiati very common kama hiyo..
Ha ha ha unachekesha hebu soma marekebisho siku nyingine ukawatambie vizuri watoto wenzio huko vijiweni...
"Enginier" = Engineer...
"Semister" = semester
"Enginier's" = Engineer's
Halafu mtu sio linguistic ni Linguist......
Hapo kwenye ***claim zako** ni kosa ungesema hivi Claims zako*****
Hivi kwa hali hii tu unaelimu ya kutosha kweli au unapondaga watu kwakuwa una wivu?
Siamini na sikubali kijana wa chuo unaetamba hujui kuandika hayo maneno common kwa level yako...
You are too low...
Very poor in thinking and weak in reasoning....
Imbecilic!!!!!!
CC: Excel Dinazarde. Jerrymsigwa et al
nina mashaka na uelewa wako na uwezo kufikir wa akili yako. ivi ud kuna ualimu tu? udsm ingekua ina kozi zote vyuo vingne vingefundisha nn? unadhan iyo bachelor ya special needs apo sekuco ud imeshindwa kutolewa, ni mpanglio tu wa chuo. jiulize waliomaliza uchumi, law, uhandisi, geology na koz zingne nying kutoka udsm wameajiriwa wapi? au unaongea tu kwa vile post za ualimu zinaonekana kwa watu wengi na ndipo ulipowaona watu wa udsm? pia inatakiwa ujue kua shule nying zenye mahitaj maalum zipo mijin na pia
mkuu achana na hawa watoto.... UDSM ya sasa inafuga matangopori tu...!!!
Dogo unadhani mimi ni wa kuajiriwa leo, Mie nilisoma miaka ile (CHUO KIKUU kipo kimoja tu) bongo hii, hivi nakaribia kustaafu.
Dogo unadhani mimi ni wa kuajiriwa leo, Mie nilisoma miaka ile CHUO KIKUU kipo kimoja tu bongo hii, hivi nakaribia kustaafu.
Wewe ndio kid usiyeijua lugha ya malkia...
hapo hukupaswa kutumia 'your' ulipaswa kusema ' you are kid'
Kama hata hivi vidogo vinakushinda vikubwa utaweza? Kujitapa kama watoto kichwani empty set...
You are too low!!!!
We nimeamini ni mtoto ...
Haiwezekani graduate wa chuo ukashindwa kuandika misamiati very common kama hiyo..
Ha ha ha unachekesha hebu soma marekebisho siku nyingine ukawatambie vizuri watoto wenzio huko vijiweni...
"Enginier" = Engineer...
"Semister" = semester
"Enginier's" = Engineer's
Halafu mtu sio linguistic ni Linguist......
Hapo kwenye ***claim zako** ni kosa ungesema hivi Claims zako*****
Hivi kwa hali hii tu unaelimu ya kutosha kweli au unapondaga watu kwakuwa una wivu?
Siamini na sikubali kijana wa chuo unaetamba hujui kuandika hayo maneno common kwa level yako...
You are too low...
Very poor in thinking and weak in reasoning....
Imbecilic!!!!!!
CC: Excel Dinazarde. Jerrymsigwa et al
utakaporipoti huko kasulu ulikopangiwa na wa SEKOMU anaripoti Pugu,B.W.Mkapa ndio utapata jiobu mujarabu!
daah ungempotezea tu mkuu, wewe mwenyewe si unaona sio saizi yako huyo.
Tatizo anajifanya mjuaji kumbe bomu tu hivi mwanafunzi wa university anaweza andika hivyo kweli?