Umachinga na boda boda sio ajira.Viligawiwa vitambulisho vya ujasiriamali vingapi nchini wakati huo? Ajira za kujiajiri ndizo za uhakika. Ukiwa na idadi kubwa ya wajasiriamali ndivyo unaongeza uwezekano wa kuongeza ajira sekta binafsi na kukuza wigo wa Kodi ili serikali ipate mapato bila pressure.
====
Usifanye jicho lako la tatu liwe vivu kuona yaliyonyuma ya pazia.
Tatizo hamkuwapa nafasi kumaliza project hiyo. Mjasiriamali akiuza soksi na mikanda akapa faida, anakuza Mtaji kwa kufungua mgahawa na kuajiri wengi. Mifano tunayo (mtu anaaza na shoe shine kisha anafungua kioski cha vinywaji mfano mwingine halisi usio na mawaa Kuna kijana mmoja maarufu Mkoani Kagera anaitwa Kipara- mtu wa simu na saa, tafuta historia yake)......kukuza uchumi wa nchi kwa watu wako kuuza soksi na mikanda.
ChoiceVariable hii ni ID yako nyingine??Nenda ajira portal. Usipende kutafuniwa kila kitu. Nyie ndo wale mnasoma vichwa vya habari na kuconclude
Jpm aliua mfumo wa ajira tanzania. Mama anaurudisha taratibu. Jpm huko uliko kufa tena
Hizo zote ni porojo tu, uchumi wa nchi hii bila viwanda ni ndoto tu za alinacha, hakutakuwa na ajira za maana kwa kuchuuza bidhaa za kila aina za wachina.Tatizo hamkuwapa nafasi kumaliza project hiyo. Mjasiriamali akiuza soksi na mikanda akapa faida, anakuza Mtaji kwa kufungua mgahawa na kuajiri wengi. Mifano tunayo (mtu anaaza na shoe shine kisha anafungua kioski cha vinywaji).
Sawa, kwa Sasa uchumi unakuwa kwa sababu watu hawauzi soksi wa la mikanda bali wanatengeneza wenyewe mikanda na soksi na kuziuza nchi za Nje na kuiingizia nchi fedha za kigeni tunazohitaji.
Hiki ndicho unataka kukisema ?
Mwalimu naye anshitaji kufundisha viwandani?Hizo zote ni porojo tu, uchumi wa nchi hii bila viwanda ni ndoto tu za alinacha, hakutakuwa na ajira za maana kwa kuchuuza bidhaa za kila aina za wachina.
Tuanze na maana halisi/tafsiri ya ajira. Baada ya hapo turudi kwenye mada.Umachinga na boda boda sio ajira.
Ajira ni shughuli ambayo sio ya "hand to mouth", shughuli nyingine yoyote ambayo ili ule lazima uifanye karibia kila siku hiyo sio ajira ni kazi tu na mfano ndio huo bodaboda, machinga, wabeba zege, vibega masokoni na stendi n.kTuanze na maana halisi/tafsiri ya ajira. Baada ya hapo turudi kwenye mada.
Ninavyoelewa ajira ni shughuli yoyote halali inayokuingizia kipato. Shughuli hiyo unaweza kuwa unamfanyia mtu binafsi, serikali, Kampuni binafsi ama unaifanya kwa ajili yako(umejiajiri). Kwa tafsiri hii kuchuuza vitu na kuendesha motokali ya miguu miwili kupata kipato ni ajira ama la!?
Ndio, anahitaji kufundisha engineers, wahasibu na wafanyakazi wengine wengi wa viwanda.Mwalimu naye anshitaji kufundisha viwandani?
JPM aliajiri wangapi na mama kaajiri wangapi?Jpm aliua mfumo wa ajira tanzania. Mama anaurudisha taratibu. Jpm huko uliko kufa tena
Jpm hajawahi kuajiri. Yeye ni kuteka tu na kuuaJPM aliajiri wangapi na mama kaajiri wangapi?
Shuleni siyo viwandaniNdio, anahitaji kufundisha engineers, wahasibu na wafanyakazi wengine wengi wa viwanda.
Ile siyo ajira ni unyama unaweza kufa mda wowoteIdara ya usalama wametangaza? Kama unao mkeka au tangazo weka hapa!
Ndio mnavyodanganya watu hivyo kitoto 🤣, ingia kwenye Website ya CIA utakuta wanatangaza ajira na internshipsIle siyo ajira ni unyama unaweza kufa mda wowote
...Ndugu yangu, ninadhani tunauzoefu tofauti juu ya mambo haya. Nina kuhakikisha Kuna machinga anafanya kazi yake hiyo, na anapata hela ya Mtaji wake, hela ya chakula, hela ya usafiri, hela ya huduma nyingine kwa familia yake na anaweka akiba.machinga
Wewe leta mkeka turuke nao... unyama unyama tu, weka mkeka ndugu tukapige kaziIle siyo ajira ni unyama unaweza kufa mda wowote
Sio lazima uajiriwe kuna watu wamejiajiri lakini sio "hand to mouth", mtu ana duka/fremu yake hata akiumwa anaweza kumtuma mtu amsaidie kwa muda na maisha yakaendelea vivyo hivyo kwa fundi seremala, mchomeleaji n.k hao kazi zao zinaelekewa mtu anachukua tenda ya kutengeneza kitanda au madirisha na pesa advance kabisa,...Ndugu yangu, ninadhani tunauzoefu tofauti juu ya mambo haya. Nina kuhakikisha Kuna machinga anafanya kazi yake hiyo, na anapata hela ya Mtaji wake, hela ya chakula, hela ya usafiri, hela ya huduma nyingine kwa familia yake na anaweka akiba.
Pia yupo mmachinga wa aina uliyoeleza. Bahati mbaya sana Kuna na wale unaoitwa wameajiriwa serikalini ama Kampuni binafsi Wana kipato cha "hand to mouth". Unapata mshahara kwa mwezi unamkopo benki/ vikoba utakao uumaliza wakati ajira yako itakapo koma, na bado unagongea TIMiZa, songesha, salary advance...bado unajitapa kuwa huna kazi ya " Mkono kinywani"!?
Tusidanganye Watanzania wenzetu na walimwengu kwa ujumla. Tusema ukweli kama tunataka kuvuka kwa pamoja lakini kama Nia ni kushamirisha ubepari kandamizi tuendelee na uongo.
We ni kilazaNenda ajira portal