KERO Ajira zirudi TAMISEMI tu, huku AJIRA PORTAL ni kupotezeana muda tu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
237
Reaction score
165
Jaman Kwa Hali hii Bora serikali irudishe ajira za ualimu KULE TAMISEMI ki ukweli huku kwenye interview tunakomoana hebu fikiria maswali haya kwenye GEOGRAPHY IIIC

Miaka kumi imepita leo naulizwa cognitive dissonance, halo effect, erickson's stages of psychological development, the goal of concealing theory, primary goal of existentialist education, the key principle of differentiated instruction......nakumbuka wapi miaka kumi imepita

Mama yetu Samia tuonee HURUMA turudishen TAMISEMI
 
Haya hizo hapo
(
1)Prior knowledge link
(2)Non linguistic representation
(3)Curricular and personal connection
(4)Oral reading and writing skills
(5)Paired and cooperative learning
Samahani kwa kukusumbua lakini
 
Kwa hiyo ulitaka watoe maswali gani?
 
Sasa Mwalimu hujui kitu shuleni utaenda kufundisha nini?

Walimu acheni kudeka, Usaili sio adhabu.
 


Wewe endelea kulialia ujinga wenzako wanapangiwa vituo.
 
Ahira portal ilikuwa ili kuondoa urasimu. Tamisem ilikuwa penetrated na wala rushwa sana
 
Interview zai za kipumbavu Sana sijapata kuona ... Ni mtu anakaa na kitabu anatunga maswali ...
 
Hamuwezi kuajiriwa wote ndugu yangu, We kubali tu.
 
Interview zai za kipumbavu Sana sijapata kuona ... Ni mtu anakaa na kitabu anatunga maswali ...
Ile interview ya geography ni ya kihuni , nafikiri walikuwa wanawakomoa watu ambaye hawajosomea ualimu na waliwapata fursa mfano waliosoma BAGE
 
Nchi ngumu hiii. Na watakwambia umefail mkuu si Kwa sababu ya kukaa muda mrefu kitaa Bali Kwa kutokujua Nini umeulizwa. Kusema ukweli serikali ya CCM Ina watu wenye roho mbaya Sana. Imagine mtu umekaa kitaa miaka 10 plus si Kwa utashi wako Bali Kwa weakness zao(kutokujua Nini mwananchi anatakiwa afanyiwe) halafu wanakuja kukuhalalisha kukaa mtaani Kwa maswali 25 yanayoulizwa kama vile wamekupa notice au format ya mtihani. Kwa ujumla tunaongozwa na watu wenye roho mbaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…