Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Ngoja niseme kitu.
Mimi nimemaliza chuo 2016. Kilikua kipindi ambacho Late President amesitisha kuajiri so nikasaka connections private nikatulia huko.
Nikaenda interview ya kwanza ya serikali 2022 post ilikua 1 tuliapply watu 300. Miaka 6 tangu nimalize, nimekutana na fresh graduates na wazee kama mimi, na wenye masters kwenye field.
Ila nikapita oral. 50 tukaenda oral. Mwenye uwezo kutuzidi akachukuliwa.
Two years later, miaka 8 tangu nimalize chuo, naenda interview ya pili ya serikali. Tuliapply watu 1900 posts zilikua 5.
Nikapita oral pia.
My point ni kwamba kama darasani ulienda ili uelewe hata ipite miaka mingapi kwenye field yako ukiulizwa kitu huwezi shindwa elewa mtu anataka kujua nini.
Walimu mlizoea kupangiwa vituo. Pambaneni acheni kudeka na kukariri.