KERO Ajira zirudi TAMISEMI tu, huku AJIRA PORTAL ni kupotezeana muda tu

KERO Ajira zirudi TAMISEMI tu, huku AJIRA PORTAL ni kupotezeana muda tu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Na usipoacha hii attitude hautatafuta njia ya kubadilika
Nibadilike Nini, Sasa kama wewe si mnufaika Kwanini unaitetea hii serikali dharimu ya Ma CCM inayojali maslahi yake binafsi na si wananchi??
 
Tunataka kuokoa taifa.

Ilifika hatua Mwanafunzi anaenda form one hajui kusoma wala kuandika kumbe tatizo ni Walimu.

Mwalimu unapataje zero (0) miaka yote shuleni hadi chuoni ulikuwa unafanya nini sasa?

Huwezi kufundisha wanafunzi wetu.
Pole Sana kama taifa mnapanga kuliokoa Kwa style hii.
 
Nibadilike Nini, Sasa kama wewe si mnufaika Kwanini unaitetea hii serikali dharimu ya Ma CCM inayojali maslahi yake binafsi na si wananchi??
Badili attitude acha utoto na kulalamika. Kama CCM inajali maslahi yake wewe kwanini usijali maslahi yako? Unasubiri nani aje kukupigania maslahi yako? CHADEMA? Ambayo na yenyewe viongozi wake wanapigania maslahi yao?
 
Me nataka mifumo Bora tu. Sihitaji CHADEMA Wala ACT wanini sijui
 
Jaman Kwa Hali hii Bora serikali irudishe ajira za ualimu KULE TAMISEMI ki ukweli huku kwenye interview tunakomoana hebu fikiria maswali haya kwenye GEOGRAPHY IIIC

Miaka kumi imepita leo naulizwa cognitive dissonance, halo effect, erickson's stages of psychological development, the goal of concealing theory, primary goal of existentialist education, the key principle of differentiated instruction......nakumbuka wapi miaka kumi imepita

Mama yetu Samia tuonee HURUMA turudishen TAMISEMI
Miaka 10 umekaa tu unasubiri ajira?. 10 years msomi wa chuo kikuu umekosa kabisa cha kufanya kweli?. Mbaya zaidi maswali ya pedagogy na educational psychology unaita Geography?. Laiti ungelijua hata ukipata hiyo kazi ni sawa na kupoteza miaka mingine 20 ama 30 ungeanza kujiongeza mapema. Yani hata ungeamua kuweka degree pembeni ukaanzisha biashara ya kuchoma nyama kwa mtaji wa kilo moja sahizi ungekuwa mwajiri unasimamia cheap labourers wanakuita boss. Ila usikute upo kwenu au kwa mjomba wako wenye ajira umelala unasingizia huna ajira.
 
Wewe sikia. Hii nchi Ina mifumo ya hovyo hujawahi ona labda uwe mnufaika wa mifumo hiyo. Nenda private watu wanafanya kazi kama watumwa( serikali dharimu ya Ma CCM inajali sijuwi Nini wala si mustakabali wa watu wake). Utumwa tu mbele Kwa mbele, ndiyo maana tunalalamika Kila sehemu tunaonewa watanzania. Serikali haijali chochote
 
Utailalamikia sana ccm ila usaili ni lazima ufanye 😂
Lazima nitaendelea kuilalamikia. Una hisi kwanini watu huwa wanaamua kujitoa muhanga, kiasi au kuunda kikundi chochote na Cha aina yoyote ya ugaidi sijuwi mnaita??
 
Lazima nitaendelea kuilalamikia. Una hisi kwanini watu huwa wanaamua kujitoa muhanga, kiasi au kuunda kikundi chochote na Cha aina yoyote ya ugaidi sijuwi mnaita??
Na ww jitoe mhanga sasa au mhanga wako n kulalamika mitandaoni 😂
 
Kwani baada ya mchujo number ya waliofaulu haijafikia idadi ya wanaohitajika kwenye hizo ajira?
 
Mimi nipo kwenye ajira Kitambo sana kabla .. kabla hata hatavya huo mfumo ..nawasemea vijana kinachofanywa si sahihi.. mtu anapimwa uwelewa wa post iliyotangazwa kulingana na JD .. na sio kama alikuwa mzuri kwenye kukariri darasani .. you are asking me Archimedes principle kwa kazi ya kuja kusimamia ujenzi au project fame fulani
Nyie ndio wale waajiriwa ambayo hamna ubunifu kwenye kazi zenu kisa mmebanwa na JD, kwahy kisa JD zako zinakuambia hv bc ww huwezi kwenda beyond it ili kukuza uwezo wako?
Kwahy kisa umeambiwa kazi yako n kujenga kwa kutumia tofali la udongo bc siku ukiletewa tofali la kuchoma utasema hujui kujengea kisa JD zako zinakuambia utumie tofali la udongo?
Sasa kama unasema written ni kukomoana, ww umepataje kazi?
 
Niko pale maombi yenu yakisikilizwa mtaniambia wala sikukatishi tamaa ila hii nchi bhana inatakiwa kiongozi mkubwa kbs kuwa anazifuata kero moja kwa moja kama yule alofariki ila kwa hawa wa wawakilishi mhhh. sawa
Mmh, kwa kweli viongozi hebu watusilize nasi huku uraiani !
 
Back
Top Bottom