KERO Ajira zirudi TAMISEMI tu, huku AJIRA PORTAL ni kupotezeana muda tu

KERO Ajira zirudi TAMISEMI tu, huku AJIRA PORTAL ni kupotezeana muda tu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
imagine mwl huko private wana mwaminia kishenzi ni kichwa halafu kaenda usail wa psprs kapata 30 kwenye interview
Hata Ronaldo na Messi ambao ni wachezaji bora duniani pia wana makocha wa kuwafundisha, hvy mtu huwez kuwa bora kila mahali na sio kila kitu kipo kwa ajili yako hata kama una uwezo nacho.
Mm naamini haikuwa bahati yake tuu na sio kwamba hakuwa na uwezo.
 
Jaman Kwa Hali hii Bora serikali irudishe ajira za ualimu KULE TAMISEMI ki ukweli huku kwenye interview tunakomoana hebu fikiria maswali haya kwenye GEOGRAPHY IIIC

Miaka kumi imepita leo naulizwa cognitive dissonance, halo effect, erickson's stages of psychological development, the goal of concealing theory, primary goal of existentialist education, the key principle of differentiated instruction......nakumbuka wapi miaka kumi imepita

Mama yetu Samia tuonee HURUMA turudishen TAMISEMI
oya!
 
Pole Sana kama taifa mnapanga kuliokoa Kwa style hii.
Wewe endelea kulialia na kulalamika.

Wenzako waliojiandaa wanaendelea kupangiwa vituo vya kazi.

Subiri binadamu mwenzako aje akuwekee mazingira safi ya wewe kupata kazi kirahisi mtoto mzuri.
 
Da hata kadi ya ccm Sina we endelea kuwaza hivyo hivyo
Sasa kama kadi tu huna. Mifumo mibovu ya Ma CCM unaitetea ya Nini?? Watu wameshindwa kung'amua tatizo la ajira ila wanataka kuhalalisha kukosa ajira Kwa yeyote ni Kwa sababu amefail interview. Serikali ya mashetani kabisa hii kama mashetani mengine tu yalivyo.
 
Wewe endelea kulialia na kulalamika.

Wenzako waliojiandaa wanaendelea kupangiwa vituo vya kazi.

Subiri binadamu mwenzako aje akuwekee mazingira safi ya wewe kupata kazi kirahisi mtoto mzuri.
Kama uko na nafasi serikalini basi tunaongozwa na vilaza aise.
 
Sasa kama kadi tu huna. Mifumo mibovu ya Ma CCM unaitetea ya Nini?? Watu wameshindwa kung'amua tatizo la ajira ila wanataka kuhalalisha kukosa ajira Kwa yeyote ni Kwa sababu amefail interview. Serikali ya mashetani kabisa hii kama mashetani mengine tu yalivyo.
Kwan mambo ya kufeli usaili yameanzia kwa waalimu? Umekuwa wapi kuongea hayo mpaka sasa kwa waalimu?
 
Kama uko na nafasi serikalini basi tunaongozwa na vilaza aise.
Mwalimu unapata ZERO kwenye usaili halafu unaita watu vilaza.

Unalilia ajira za kupewa kama watu wanavyopewa maembe shambani.
 
Kwan mambo ya kufeli usaili yameanzia kwa waalimu? Umekuwa wapi kuongea hayo mpaka sasa kwa waalimu?
Utaelewa tu, huu mchezo hauhitaji hasira. Haijalishi wewe ni Mnufaika wa mfumo hovyo wa Ma CCM
 
Sasa Mwalimu hujui kitu shuleni utaenda kufundisha nini?

Walimu acheni kudeka, Usaili sio adhabu.
Huyu mwalimu ni mwehu. Sasa wehu kama hawa waje watufundishie watoto zetu?.. kwanza linaonekana zero kichwani.
 
Huyu mwalimu ni mwehu. Sasa wehu kama hawa waje watufundishie watoto zetu?.. kwanza linaonekana zero kichwani.
Ndio alipata 18 kwenye writtern na ndio ambao walikua hawataki usaili lkn ambao wamefaulu huwez kusikia hizi kelele
 
Back
Top Bottom