Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Ndio atulie aache kelele sasaHata Ronaldo na Messi ambao ni wachezaji bora duniani pia wana makocha wa kuwafundisha, hvy mtu huwez kuwa bora kila mahali na sio kila kitu kipo kwa ajili yako hata kama una uwezo nacho.
Mm naamini haikuwa bahati yake tuu na sio kwamba hakuwa na uwezo.