Musangaa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 407
- 490
Mfumo wa elimu yetu upo hivyo. Usimlaumu mtihitimu Bali ilaumu serikali dharimu ya Ma CCM iliyojaa watu wenye roho mbaya na wanaojali maslahi Yao na familia zao. Serikali ya roho mbaya, unamkalisha mtu kitaa Kwa miaka kumi unakuja kumfanyia mtihani unaofanana na yule aliyemaliza mwaka mmoja uliopita. Maamuzi ya namna hii hufanywa na watu wenye roho mbaya tu na mashetani pekee na wala si binadamu wenye utu na mwenye kumuogopa Mungu. Shame on you Ma CCMPole, ndo shida ya kusomea mitihani badala ya uelewa.