Ndio atulie aache kelele sasaHata Ronaldo na Messi ambao ni wachezaji bora duniani pia wana makocha wa kuwafundisha, hvy mtu huwez kuwa bora kila mahali na sio kila kitu kipo kwa ajili yako hata kama una uwezo nacho.
Mm naamini haikuwa bahati yake tuu na sio kwamba hakuwa na uwezo.
We mpare TBC walikuchukua kwenye interview ya mwaka jana?Ndo nan huyo
Wanufaika wa mfumo mbovu utawajua tu Kwa comments zao. Ma CCM mna roho mbaya nyie.Huyu mwalimu ni mwehu. Sasa wehu kama hawa waje watufundishie watoto zetu?.. kwanza linaonekana zero kichwani.
Mwalimu kimemkuta.Kwahio umepata sufuri
Pole mkuu ....Jaman Kwa Hali hii Bora serikali irudishe ajira za ualimu KULE TAMISEMI ki ukweli huku kwenye interview tunakomoana hebu fikiria maswali haya kwenye GEOGRAPHY IIIC
Miaka kumi imepita leo naulizwa cognitive dissonance, halo effect, erickson's stages of psychological development, the goal of concealing theory, primary goal of existentialist education, the key principle of differentiated instruction......nakumbuka wapi miaka kumi imepita
Mama yetu Samia tuonee HURUMA turudishen TAMISEMI
Hapana nilifeli usaili ila silalamiki kama hawa waalimu πWe mpare TBC walikuchukua kwenye interview ya mwaka jana?
Uliyoifanyia Dodoma?
Mikando ya hatariπππππimagine mwl huko private wana mwaminia kishenzi ni kichwa halafu kaenda usail wa psprs kapata 30 kwenye interview