imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Au ungesema wanawafukuza wanyama ili wahamie kwenye midomo ya mamba wa mto Kagera.kuwafukuza wanyama kuamia poli lao la akagera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ungesema wanawafukuza wanyama ili wahamie kwenye midomo ya mamba wa mto Kagera.kuwafukuza wanyama kuamia poli lao la akagera.
Labda kwa sababu mleta mada ni mnyamwezi au ana lafudhi ya kinyamwezi.H kiwangala yuko sawa tu
Hii Nchi imeshageuka shamba la bibi
Hili jukwaa halina mipaka.Nmegundua wanyarwanda wengi sana humu.
kwa kujenga fence, na kuchoma pori letu wanyama wakimbilie kwao kisha wakaweka fence kama ya ukuta wa china, Musoni vipi ndugu yangu, utakuwa mnyarwanda wewe sio bureTuache mihemuko , wanyama wana kipindi cha kuhama kutegeemana na majira katika eneo husika "migration of animals" hata Serengeti nk huwa wanahama kwa makundi kwenda Kenya baada ya msimu kubadilika wanarudi na huwa ni katika convoy.....
2.Tujenge umoja na amani katika mipaka yetu na tunayo EAC ambayo inafanya vizuri..sana na MARAISI WETU WAKO VIZURI KATIKA HAYA YOTE...
3.Majuzi IGP WA PANDE MBILI WALITEMBELEANA NA KUWEKA MIKAKATI MIZURI...
4.huwa kuna vikao vya ujirani mwema MA RC WA NCHI HIZO MIPAKANI NA MEDIA HUWA INATUJULISHA
5.Waheshimiwa marais wetu KAGAME/MAGUFULI wametembeleana "official stete visits" sasa choko choko za nini WAACHENI DIPLOMASIA ICHUKUE MKONDO WAKE WATU TUISHI KWA AMANI.
Sina ubobezi kwenye masuala ya mistu na maporiUngechangia na mada kidogo ingependeza
mwandishi ametumia neno poli badala ya pori kuweka msisitizo wa hoja yakeManeno yote umeyatendea haki, ila kwenye PORI ndio mtiti.
sasa mbona hata wewe umekosea kuandika.?Sina ubobezi kwenye masuala ya mistu na mapori
Wengi Kiswahili ni lugha ya pili,usimtoe kwenye hoja,tazama maudhui na hoja zake,sio mwandikohujaeleweka kabisa....nenda shule kwanza
Hili tatizo poli badala ya pori ni janga la taifa .liko kila mahali kuanzia watangazaji na waandishi wa tv, tv online ,youtube,fb,jf,magazetini na kadhalika .uchunguzi wangu uchache wa waalimu na elimu duni shule za sekondari kata .unakuta mtoto amezaliwa mpaka amekomaa ulimi .yupo kwenye eneo moja tuu lenye kutumia L badala ya R na sii ajabu mwalimu nae ni mwaadhirika wa L badala ya R .ndio hivyo tena labda tuvumilie tuu ukizingatia hakuna wa kumshauri kutatua tatizo hili .lakini ukweli hili tatizo ni kubwa sanaKwa siku za karibuni uandishi umekuwa kero kubwa sana.Kwa bahati mbaya ni watu wazima kabisa wenye matatizo hayo.
Bujibuji spare my ribsRwanda wanatuonea sana, Huu undezi unasababishwa Na Yale mavumba ya kichawi Na mafusho ya kwenye mwenge
Wanakwenda...hawaibiwi.Hoja ni ulinzi au kupandishwa hadhi?
Serengeti Ni national park lakini wanyama wanaenda Kenya kila siku.
Au kwenye mto Kagera.Yes !ukuta lazima mpaka wote wa Tanzania majirani wote hawafai.Mtihani lake Victoria na Tanganyika itahitaji utalaamu wa ziada kujenga ukuta kwenye ziwa.
Watu wanagundua computer,magari,ndege ..nkNmegundua wanyarwanda wengi sana humu.