Tetesi: Akagera National Park ya Rwanda inavyochukua wanyama wa pori ya Burigi na Kimisi na kuwafungia kwenye fensi

Tetesi: Akagera National Park ya Rwanda inavyochukua wanyama wa pori ya Burigi na Kimisi na kuwafungia kwenye fensi

Tuache mihemuko , wanyama wana kipindi cha kuhama kutegeemana na majira katika eneo husika "migration of animals" hata Serengeti nk huwa wanahama kwa makundi kwenda Kenya baada ya msimu kubadilika wanarudi na huwa ni katika convoy.....

2.Tujenge umoja na amani katika mipaka yetu na tunayo EAC ambayo inafanya vizuri..sana na MARAISI WETU WAKO VIZURI KATIKA HAYA YOTE...

3.Majuzi IGP WA PANDE MBILI WALITEMBELEANA NA KUWEKA MIKAKATI MIZURI...

4.Huwa kuna vikao vya ujirani mwema MA RC WA NCHI HIZO MIPAKANI NA MEDIA HUWA INATUJULISHA

5.Waheshimiwa marais wetu KAGAME/MAGUFULI wametembeleana "official stete visits" sasa choko choko za nini WAACHENI DIPLOMASIA ICHUKUE MKONDO WAKE WATU TUISHI KWA AMANI.
 
Tuache mihemuko , wanyama wana kipindi cha kuhama kutegeemana na majira katika eneo husika "migration of animals" hata Serengeti nk huwa wanahama kwa makundi kwenda Kenya baada ya msimu kubadilika wanarudi na huwa ni katika convoy.....
2.Tujenge umoja na amani katika mipaka yetu na tunayo EAC ambayo inafanya vizuri..sana na MARAISI WETU WAKO VIZURI KATIKA HAYA YOTE...
3.Majuzi IGP WA PANDE MBILI WALITEMBELEANA NA KUWEKA MIKAKATI MIZURI...
4.huwa kuna vikao vya ujirani mwema MA RC WA NCHI HIZO MIPAKANI NA MEDIA HUWA INATUJULISHA
5.Waheshimiwa marais wetu KAGAME/MAGUFULI wametembeleana "official stete visits" sasa choko choko za nini WAACHENI DIPLOMASIA ICHUKUE MKONDO WAKE WATU TUISHI KWA AMANI.
kwa kujenga fence, na kuchoma pori letu wanyama wakimbilie kwao kisha wakaweka fence kama ya ukuta wa china, Musoni vipi ndugu yangu, utakuwa mnyarwanda wewe sio bure
 
Maneno yote umeyatendea haki, ila kwenye PORI ndio mtiti.
 
Kigwa hapo akifungua mdomo wake na kazi inaota mbawa kweli, mukulu kwa wanyarwanda hapindui..
 
Kwa siku za karibuni uandishi umekuwa kero kubwa sana.Kwa bahati mbaya ni watu wazima kabisa wenye matatizo hayo.
Hili tatizo poli badala ya pori ni janga la taifa .liko kila mahali kuanzia watangazaji na waandishi wa tv, tv online ,youtube,fb,jf,magazetini na kadhalika .uchunguzi wangu uchache wa waalimu na elimu duni shule za sekondari kata .unakuta mtoto amezaliwa mpaka amekomaa ulimi .yupo kwenye eneo moja tuu lenye kutumia L badala ya R na sii ajabu mwalimu nae ni mwaadhirika wa L badala ya R .ndio hivyo tena labda tuvumilie tuu ukizingatia hakuna wa kumshauri kutatua tatizo hili .lakini ukweli hili tatizo ni kubwa sana
 
Yes !ukuta lazima mpaka wote wa Tanzania majirani wote hawafai.Mtihani lake Victoria na Tanganyika itahitaji utalaamu wa ziada kujenga ukuta kwenye ziwa.
Au kwenye mto Kagera.
 
Mleta mada asante kwa tip
Simba ukimfungia kwenye fensi anakua sio simba huyo
Waache wawafungie baadae watawaachia warudi walikotoka
 
Back
Top Bottom