aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 798
- 1,178
Mnamo tarehe 05/03/2022 kuanzia majira ya saa 12 : 00hrs mpaka saa 12 : 00hrs a/insp Fadhil wa CID Madema akiongozana na makachero wa kituo hicho walifanya msako maalum wa kumtafuta mtuhumiwa anaejihusisha na vitendo vya wizi wa kukwapua vipochi pamoja na mikoba sehemu zenye msongamano wa watu hususan vituo vya daladala.
Katika msako huo ulifanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo aitwae Bahati Iddi Kimweli 32yrs Msambaa wa Jangombe na baada ya kupekuliwa chumbani kwake alipatikana na vipochi na mikoba 135 vya wanawake ambayo ameikwapua sehemu mbalimbali kwenye vituo vya daladala.
Mtuhumiwa huyo yupo kituo cha Polisi Madema akiendelea kuhojowa zaidi.