Akamatwa akiwa na mikoba/pochi 135 aliyokwapua sehemu mbalimbali

Akamatwa akiwa na mikoba/pochi 135 aliyokwapua sehemu mbalimbali

Uongo! Uongo! Uongo tena.
Usikute jamaa anafanya biashara ya hiyo mikoba sasa wakambananisha kwenye kosa then kwa kukosa vielelezo muhimu wakampa hiyo kesi.

Inawezekana vipi ukwapue mikoba let's say watu 100 usikamatwe? Polisi kuweni na huruma na watanzania wenzenu maisha ni magumu kotekote
 
Nadhani amepata mafunzo mazuri kutoka kwenye dini ya hakhi..ameamua kurudi kitovuni kuja kui practice zaidi..hongera kwake mpeni ushirikiano ni ndugu yenu huyo kutoka bara.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Embu acha kauli za kibaguzi basi we mzee wa kinyantuzu sio vizuri wa Tanzania wote ni wamoja

Hauleti picha nzuri kwa vijana na wajukuu zako
 
Ningekuwa mimi ningeshafungua duka. Jamaa fala sana
Na vile siku hizi hamuweki hela kwenye sidiria pata picha amekusanya sh ngapi pochi zote

Unless otherwise mnakuwa mnatembea nayo matupu umeweka wanja ,kioo ,pedi ,hapo hasara kwake
 
Hii wazungu wangeiweka kwenye vitabu vya kumbukumbu
 
Na vile siku hizi hamuweki hela kwenye sidiria pata picha amekusanya sh ngapi pochi zote

Unless otherwise mnakuwa mnatembea nayo matupu umeweka wanja ,kioo ,pedi ,hapo hasara kwake
Akikuta hakuna hela pochi ndo faida yake. Ila anaweza bahatisha simu kwenye pochi
 
Back
Top Bottom