Akamatwa akiwa na milioni 29 Gest

Sidhani kama mie wangenikamata kizembe, sasa nae kaenda kuiba milioni 29 ya nini.. yaani milioni 29 inakufanya uhame mji, kama mke na familia utelekeze, kama ua mzazi umuue kwa presha...

Pongezi kwake mpambanaji japo kafeli kidogo tu 🤣
Usiwaamini Polisi, subiri tu utausikia ukweli kutoka kwa walioibiwa.
 
Huyo simu ndio imemponza. Ukipiga tukio la mpunga mrefu first thing ni kukata mawasiliano kabisa. Halafu sidhani kama kuna mtu anaweza kimbia na 29M tu.

Huyo aliiba 100M au zaidi. Kuna hela inatamanisha kuikwara ila sio 29M aisee. Haijai hata kwenye sanduku la nguo.
 
Angekuwa mangi,hizo fedha zingechimbiwa chini,na angesafiri na bagi la nguo TU.
Huyo sio mangi
 
Najua wengi mtamlaumu. Ila niwaibie siri.ukifanya tukio.KAA MBALI NA SIMU YAKO.
 
***** polisi! Kuwa na milioni 29+ni kosa?
Kesho utasikia "amejiua kwa, kwa, kujinyonga na kamba za viatu" Mpunga wote wanatia ndani
 
Yaani mfanye upekuzi wa kawaida halafu mbabatize tu mtu, sio kweli, wamelengeshwa. Halafu ni polisi gani hao wakamate pesa kisha waitangaze yote? Hapo wamekamata milioni hata 400, ila wanawasilisha 29..
 
Kwa mambo yalivyo utakuta zilikua hata M 100+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…