Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Kama hujawahi kuishika ni pesa nyingi, ila ndo utadakwa asubuhi tu.Tunatofautiana aseee wengne ata kumi atujawai shika afu tuibatishe iyo m29 unadhani itakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujawahi kuishika ni pesa nyingi, ila ndo utadakwa asubuhi tu.Tunatofautiana aseee wengne ata kumi atujawai shika afu tuibatishe iyo m29 unadhani itakuwaje
Kila kona kuna pisi...ni macho yako tuKumbe makambako kuna pisi 😥
Ukishachomwa hata hotel ya nyota 5 si kitu tena, ogopa sana kujaa kwenye mfumo.Una 29 m kisha unalala Gueat
Hotel huzioni?
Yan huyu hata angekuwa serena wangemchomoaUkishachomwa hata hotel ya nyota 5 si kitu tena, ogopa sana kujaa kwenye mfumo.
Au alikuwa anaenda kununua mazao,sema polisi wakishaona fedha na Huna documentation yake yyt lazima watakuburuza wailambeAmeshindwa hata kusema amepata kwenye betting?
Huyo Mwakatundu ni CHADEMA amaMkazi wa Jijini Dar es salaam amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe akiwa na Tsh. 29,374,000 katika nyumba ya kulala Wageni (Gesti) Mjini Makambako ambapo fedha hiyo inadaiwa ameipata kwa njia ya wizi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga, amesema wamemkamata Mwakatundu wakiwa wanafanya upekuzi wa kawaida katika nyumba za kulala Wageni ambapo baada ya mahojiano amekiri kuipata fedha hiyo kwa njia ya uporaji.
“Tulipofika katika nyumba ya kulala Wageni ambayo inaitwa Lisbon ndio tulifanikiwa kumkamata akiwa na fedha hiyo lakini baada ya kumuhoji kwa kina alieleza kwamba fedha hizo amezipora katika kampuni aliyokuwa anafanyia kazi ya Interchick Dar es Salaam”
Amesema tayari Mtuhumiwa amekwishakabidhiwa kwa Jeshi la Polisi Mkoani Dar es salaam kwa ajili ya hatua nyingine za kimashtaka ili aweze kufikishwa Mahakamani.