Akamatwa kwa kujenga mahandaki sita bila kibali Mwanza

Akamatwa kwa kujenga mahandaki sita bila kibali Mwanza

Soma kwa umakini mkuu, usikurupuke. Kosa lake hapo ni UJENZI BILA KIBALI
Mbona wanaojenga nyumba za kawaida huwa hawakamatwi instantly kama alivyokamatwa bwana Evance Ndeka?? :BBaper: :BBaper:

Kwa nini wasiandike fika manispaa ya kinondoni kwenye milango ya mahandaki???

Serekali za kibongo za kidwanzi sana, yaani israel leo hii mahandaki yanawasaidia bongo badala ya kupongezwa unakamatwa.

Usikute jamaa alikua anajiandaa na vita kuu ya tatu ya dunia akaamua kutengeneza mahandaki yake kikinuka chap anazama na familia who knows??

Maa
 
Hujui kuwa ujenzi bila kibali ni kosa kisheria?
Wametumia tu kifungu hicho cha "ujenzi bila kibali" ili waweze kumtia nguvuni kisheria, maana wasingeweza kumdaka halafu waseme wamemdaka kwa sababu anajenga mahandaki. So, lazima watafute angle ya kisheria inayo hold water.
 
Mbona wanaojenga nyumba za kawaida huwa hawakamatwi instantly kama alivyokamatwa bwana Evance Ndeka?? :BBaper: :BBaper:

Kwa nini wasiandike fika manispaa ya kinondoni kwenye milango ya mahandaki???

Serekali za kibongo za kidwanzi sana, yaani israel leo hii mahandaki yanawasaidia bongo badala ya kupongezwa unakamatwa.

Usikute jamaa alikua anajiandaa na vita kuu ya tatu ya dunia akaamua kutengeneza mahandaki yake kikinuka chap anazama na familia who knows??

Maa
Labda wameogopa mkuu🤣
Na inaonekana majirani zake ndo walienda 'kumchoma' polisi kwamba jamaa anajenga vitu visivyoeleweka, hebu mliangalie hilo mapema
 
Kwa hiyo siku hizi ujenzi bila kibali uko chini ya polisi ?
Wametumia tu kifungu hicho cha "ujenzi bila kibali" ili waweze kumtia nguvuni kisheria, maana wasingeweza kumdaka halafu waseme wamemdaka kwa sababu anajenga mahandaki. So, lazima watafute angle ya kisheria inayo hold water.
 
Namimi hapa nilitaka kuhoji hii sheria ilianzishwa lini mbona sijawahi kuisikia?

Hii ina maanisha hata kujenga nyumba yenye basement kwa bongo ni illegal?

Aisee
Kuna kibali inabidi upate kutoka serikali ya mtaa kama unachimba kuanzia mita kadhaa hata kama ni eneo lako. Je wajua hata kurekebisha nyumba yako lazima upate kibali? Sema Serikali hili hawafatilii sana labda uwe na bifu nao
 
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Evance Ndeka Bisesagu (47), mfanyabiashara na mkazi wa Bupumula wilayani Ilemela kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita bila kufuata taratibu za kisheria.

Mtuhumiwa huyo amekamatwa Aprili 22, 2026 kufuatia taarifa za wananchi kuhusu uwepo wa mahandaki hayo yanayohatarisha usalama wa wakazi wa maeneo ya jirani huku uchunguzi wa awali ukionesha kuwa ujenzi wa mahandaki haukufuata utaratibu wa sheria za ujenzi ikiwemo kutolewa kwa taarifa kwa mamlaka husika na kupata vibali Vya ujenzi husika.

Mbali na Bisesagu ambaye ni mmiliki wa eneo hilo pia Polisi inawashikilia watu wengine wawili Ngasa Kasuka na Hamad Juma Kashinje waliokuwa vibarua wa ujenzi sambamba na kuendelea na msako wa mafundi na watu wengine waliokuwa wakishirikiana nao katika ujenzi na uchimbaji wa mahandaki hayo.
View attachment 3578217View attachment 3578218View attachment 3578219
Hapo title ni kujenga mahandaki au ama ni kutengeneza mashimo?
 
Mali za wizi, ujambazi, au kukwepa kelele za tra.

Kufanya uchakachuaji wa mizigo, kwa kupunguza kg.
Wewe!
Siyo kwamba jamaa alikuwa akichenjua zake dhahabu humo?

Na kuanzisha shughuli pevu namna hiyo bila kuzungushia uzio ni kujichoresha.

Angelizungushia uzio, wambea wasingelimfikia haraka na huenda angelimaza project yake bila bughudha.
 
Ndio ni kosa, Kwahiyo mimi leo nikijenga gorofa bila kibali wanakuja polisi kunikamata badala ya Ardhi kunifungulia kesi mahakamani moja kwa moja ?
Wametumia tu kifungu hicho cha "ujenzi bila kibali" ili waweze kumtia nguvuni kisheria, maana wasingeweza kumdaka halafu waseme wamemdaka kwa sababu anajenga mahandaki. So, lazima watafute angle ya kisheria inayo hold water.
 
Wewe!
Siyo kwamba jamaa alikuwa akichenjua zake dhahabu humo?

Na kuanzisha shughuli pevu namna hiyo bila kuzungushia uzio ni kujichoresha.

Angelizungushia uzio, wambea wasingelimfikia haraka na huenda angelimaza project yake bila bughudha.
True. Maana inaonekana waliomchoma kwa polisi ni majirani zake.
 
Mbona kawaida sana labda hapa shida ni kibali ,nyumba nyingi zina underground hata Mulokozi alisema nyumba yake ina underground na misosi ya kuweza kusruvive hata mwezi mzima huko chini kwa ajili ya sercurity ahakuonyesha.
 
Soma kwa umakini mkuu, usikurupuke. Kosa lake hapo ni UJENZI BILA KIBALI
Mkuu, wewe ndio unaweza kuwa umekurupuka. Kujenga bila kibali hukamatwi na polisi, bali halmashauri wanakuandikia barua kuwa usimamishe ujenzi. Na adhabu ni kulipa faini na ada ya kibali, au kubomoa jengo kama halijakidhi vigezo au kufanya marekebisho. Polisi hawahusiki na hizo mambo
 
Mada umeisoma lakini?

Issue sio kujenga basement,issue ni kutokua na kibali cha kuijenga hiyo basement.
umekomalia ujenzi bila kibali, police wanahusikaje na ujenzi bila kibali? Si kuna mamlaka zingemuamuru tu abomoe au wangebomoa wao kwa nguvu?
 
Back
Top Bottom