Akamatwa kwa kujenga mahandaki sita bila kibali Mwanza

umekomalia ujenzi bila kibali, police wanahusikaje na ujenzi bila kibali? Si kuna mamlaka zingemuamuru tu abomoe au wangebomoa wao kwa nguvu?
Una ujinga uliopitiliza,

Hizo mamlaka ndio zinatoa hukumu? Hujui kua hukumu hutolewa na Court of law?

Hizo mamlaka unazozisema hapa zimuamuru tu abomoe ni mamlaka zipi?

Kwa mfano mtu akiwa anauza pombe fake,haitakiwi Polisi kwenda kumkamata au kwenda eneo la tukio? Bali mamlaka tu zimuamuru kuzivunja vunja hizo pombe?
 
ambao huwa wanaandika majengo ya mjini BOMOA huwa ni police?
 
Yule wa kutikisa ushahidi
 
Pengine alikuwa na lengo la kuja kuanzisha cultural tourism, akaanza kuja kutoa historia ya wasukuma kuishi mapangoni
 
Soma kwa umakini mkuu, usikurupuke. Kosa lake hapo ni UJENZI BILA KIBALI
Nimesoma vizuri nadhani nyie ndio hamjaelewa concept

Concept yangu imejikita kuhoji kwanini kuitajike kibali?
 
Video
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1CFvBU1b8Q/
 
Huyu inaonekana ana akili na hio kesi atakuwa na uwezo wa kuizima na kuendelea na mission zake
Hiyo kesi haina ishu sana wala. Kwa sababu kifungu walichotumia ni kujenga bila kibali. Hata 'akikutwa na hatia', hapo anaweza pigwa faini ya laki 3, biashara imeisha.
 
Sio kosa moja kwa moja, lakini inategemea unavyojenga na kibali ulichopata.
βš–οΈ Kisheria Tanzania
Sheria za ujenzi zinasimamiwa na Tanzania Building Agency (TBA) na halmashauri za miji.
Unaruhusiwa kujenga nyumba yenye sehemu ya chini (basement/handaki) ikiwa ipo kwenye ramani iliyopitishwa.
Lazima upate kibali cha ujenzi (building permit) kabla ya kuanza.
🚫 Inaweza kuwa kosa kama:
Umejenga bila kibali
Handaki linaweza kuathiri majirani (mfano kuporomoka kwa ardhi)
Linatumika kwa shughuli haramu
Halikidhi viwango vya usalama (ventilation, uimara, n.k.)
⚠️ Mambo ya kuzingatia
Usalama wa jengo (msingi na udongo)
Maji chini ya ardhi (mafuriko)
Uingizaji hewa (ventilation)
Ramani iwe imeidhinishwa
πŸ‘ Hitimisho
πŸ‘‰ Kujenga handaki si kosa, mradi tu:
Una kibali rasmi
Umefuata ramani na viwango vya ujenzi
 
Sahihi. Ukisoma hapo hiyo habari angle waliyotumia kumkamata ni haukufuata utaratibu wa sheria za ujenzi ikiwemo kutolewa kwa taarifa kwa mamlaka husika na kupata vibali Vya ujenzi husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…