Asante mwaya.
Arushaone naomba namba ya Lady doctor, shem wako Chocs, amu na Zion Daughter ........kuna kineno nataka niwanong'oneze.
Unaongea kama huna meno.
nyumba ndogo wanataka za salon na za ice cream au visuruali vya mitumba na vitishirt vyake tu
huyu hata simuwezi kadi zote za benki kazichikilia yeye sijui ndo anapeleka kwa smile maana nimesikia ameonekana mara kibao nyumbani kwa smile