Akatwa kichwa kwa kushiriki mapenzi ya jinsi moja

Wapi kwenye Dini yako wameandika Shoga auliwe??

Hebu leta hayo maandiko ya kwenye kitabu tuyachambue,

Lakini Dini yako inasema "aliyeua kwa Upanga nae auwawe kwa Upanga"

Sasa wewe jichanganye
 
Wapi kwenye Dini yako wameandika Shoga auliwe??

Hebu leta hayo maandiko ya kwenye kitabu tuyachambue,

Lakini Dini yako inasema "aliyeua kwa Upanga nae auwawe kwa Upanga"

Sasa wewe jichanganye
We utakuwa una mtoto shoga lazima utetee huo uchafu, pumbavuu
 
We nahisi mwanao au baba yako atakuwa na hizo tabia chafu,maana unatumia nguvu kubwa Sana kutetea
 
We nahisi mwanao au baba yako atakuwa na hizo tabia chafu,maana unatumia nguvu kubwa Sana kutetea
Na ndio maana nikakwambia kama ushoga ulianzia kwa baba ako lakini akajitahidi akakuzaa, usiwatukane wafuasi wenzenu
 
Kama unaushahidi tuletee naetukamuue ili kizazi cha SODOMA na GOMORA kifutike ktk huu uso wa DUNIA. Hata MUNGU alipowafuta wakazi wa sodoma na gomora alikuwa hataki huu ujinga sasa ww utakuwa hayawani kuutetea huo ujinga.
Si uache aje awakomeshe tena wewe unawashwa washwa na nini? Uliwaumba wewe??
 
Wapi nimeongelea habari ya shoga?mbona unanilisha maneno mkuu? Mi nime support tu point ya mtoa mada au nimekosea!
 
Uko sahihi madam.

Nashukuru kwa kusimama kidete kupambana na hawa wanafiki uchwara.

Afu hawa ndo mabingwa wa kula tigo na wanajisifu kabisa hadharani.
 
Wauaji wakamatwe na kupewa adhabu kali,

Kila Binaadam ana Haki ya kuishi, kivipi mwengine akatishe Maisha ya mwenzie kisa tu akifanyacho yeye hakitaki, huo ni ukosefu wa akili na ustaarabu.
Mwanao akiwa shoga utamuacha aendelee sababu ni uchaguzi wake?
 
Acheni kuhusisha dini na ushoga shida yenu mnafata na kuangalia watu binafsi naamini maandiko ya biblia,sahizi dunia nzima ushoga upo na irsael lilikua taifa takatifu sio hili la sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…