Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Wanaume nchini Tanzania wanapaswa kuongeza umakini zaidi wakati wa tendo la ndoa kutokana na kushamili kwa matukio ya kukatwa nyeti zao na wapenzi wao.
Siku kadhaa zilizopita askari polisi mkoani shinyanga (28) alikatwa nyeti na mke wake na leo Mkazi mmoja wa Wilayani Serengeti amekatwa sehemu zake za siri baada ya kushindwa kumlipa Shilingi 5,000 walizoahidiana kulipana kila mshindo.
Tukio hilo limetokea leo Januari 10, 2020 alfajiri katika nyumba ya kulala wageni ya Gibita iliyoko mjini Mugumu mjini wilayani hapa.
Akiongea wakati akiwa hospitali mhanga wa tukio hilo alikatwa na mhudumu wa nyumba hiyo baada ya kumlipa Shilingi15,000 badala ya Shilingi 20,000 walizokubaliana kulipana kwa kila mshindo mmoja Shilingi 5,000 na yeye alipiga nne na kutoa fedha pungufu.
“Kwanza tulianza kwa vinywaji kisha tukakubaliana kuwa kila mshindo sh 5,000 lakini akaomba kwanza Shillingi 20,000 nikalipa, tumelala kila baada ya mshindo nilikuwa nalipa Shilingi 5,000, mitatu nililipa ,ya nne sikulipa akadai nikamwambia akate kwenye Sh20,000 ya kwanza akagoma”.
“Tukalala alfajiri wakati naaga niwani kijijini kwenye kazi za uchimbaji dhahabu, kumbe alikuwa na wembe ghafla akashika sehemu yangu ya siri na kukata kuanzia chini kwenye makende ili akate kabisa nikapambana lakini akawa ameishaniumiza vibaya,” amesema.
Amesema akapiga kelele watu wakajitokeza kumsaidia na kutoa taarifa polisi waliofika na kuwachukua wote na mhudumu huyo aliyemtaja kwa jina la Nyangi Ismael maarufu Mnyamongo ambaye polisi wamekiri kumshikiria.