hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hahaha ..hapa hata Mimi nimekaa najaribu kutafakari hili
Sent using Jamii Forums mobile app
kama alishampa 20 ya mwanzo kwanini alikuwa analipa tena kila mshindo au bonus.
Sent using Jamii Forums mobile app