Akatwa nyeti zake na mkewe baada ya kushindwa kutimiza ahadi ya kumlipa 5000 baada ya mshindo kwenye tendo la ndoa

Akatwa nyeti zake na mkewe baada ya kushindwa kutimiza ahadi ya kumlipa 5000 baada ya mshindo kwenye tendo la ndoa

Maelezo na picha havilingani.

Maelezo yanasema jamaa alipambana na kupiga kelele na kisha akajiokoa, lakini akiwa ameumizwa vibaya.

Picha zinaonesha zakari zimazima na korodani zake zimekatwa na kurundikwa kama kitoweo.

Why kutuletea mipicha ya maktaba hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha iliyoambatanishwa sio ya tukio hili. Ni tukio la Shinyanga afande kukatwa nyeti na mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndy maana siku hizi Nime anzisha formla yangu mpya pale wakat wa blowjob na kunyonywa dushe na manzi lazima kisu niwe nimek pack kitandani kwa siri maana chochote kinaweza kutokea

Ni bora kwenda kula ugali wa bure jera kuliko kukatwa dushe utakua mgeni wa nan bila nyetii dunia hii
Hahaha james delicious
 
Akatwa nyeti zake na mkewe baada ya kushindwa kutimiza ahadi ya kumlipa 5000 baada ya mshindo kwenye tendo la ndoa

Heading yasema mkewe, ndani habari yasema vingine kabisa
 
Nakumbuka kuna kisa cha jamaa anaeitwa Bobito huko USA alikatwa yote na mke wake na kuitupa dirishani kutoka gorofani
Msaria mwema akaiona na kujiongeza kuibeba na kuipeleka duka la 24/7 na kuihifadhi kwenye fridge na kupiga Simu police na Ambulance
Ambulance ilipokuja walimbeba jamaa na mzigo wake
Ilichukua doctors 6 kwa masaa 9 kuunganisha kila mshipa

Baada ya kupona alialikwa na Oprah kwenye show na kusimulia na kuomba kama kuna mwanamke anamtaka aongozane nae


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mwanamke lenyewe baya hivyo unapataje ujasiri wa kuligonga au tatizo pombe hawa ndugu zangu wa mining huwa wanna ushamba flani na wahudumu wa bar Bora nidili na Malaya sio baamaid huwa hawana stress balaa za kuachwa na ma ex wao hata wakimuhoji huo ujasiri uliupata wapi kiss ni mama wa kikurya
 
Back
Top Bottom