Akatwa nyeti zake na mkewe baada ya kushindwa kutimiza ahadi ya kumlipa 5000 baada ya mshindo kwenye tendo la ndoa

Wanaume nchini Tanzania wanapaswa kuongeza umakini zaidi wakati wa tendo la ndoa kutokana na kushamili kwa matukio ya kukatwa nyeti zao na wapenzi wao.

Siku kadhaa zilizopita askari polisi mkoani shinyanga (28) alikatwa nyeti na mke wake na leo Mkazi mmoja wa Wilayani Serengeti amekatwa sehemu zake za siri baada ya kushindwa kumlipa Shilingi 5,000 walizoahidiana kulipana kila mshindo.

Tukio hilo limetokea leo Januari 10, 2020 alfajiri katika nyumba ya kulala wageni ya Gibita iliyoko mjini Mugumu mjini wilayani hapa.

Akiongea wakati akiwa hospitali mhanga wa tukio hilo alikatwa na mhudumu wa nyumba hiyo baada ya kumlipa Shilingi15,000 badala ya Shilingi 20,000 walizokubaliana kulipana kwa kila mshindo mmoja Shilingi 5,000 na yeye alipiga nne na kutoa fedha pungufu.

“Kwanza tulianza kwa vinywaji kisha tukakubaliana kuwa kila mshindo sh 5,000 lakini akaomba kwanza Shillingi 20,000 nikalipa, tumelala kila baada ya mshindo nilikuwa nalipa Shilingi 5,000, mitatu nililipa ,ya nne sikulipa akadai nikamwambia akate kwenye Sh20,000 ya kwanza akagoma”.

“Tukalala alfajiri wakati naaga niwani kijijini kwenye kazi za uchimbaji dhahabu, kumbe alikuwa na wembe ghafla akashika sehemu yangu ya siri na kukata kuanzia chini kwenye makende ili akate kabisa nikapambana lakini akawa ameishaniumiza vibaya,” amesema.

Amesema akapiga kelele watu wakajitokeza kumsaidia na kutoa taarifa polisi waliofika na kuwachukua wote na mhudumu huyo aliyemtaja kwa jina la Nyangi Ismael maarufu Mnyamongo ambaye polisi wamekiri kumshikiria.

cc; pujo
 
Duuh yaani NDONGA yangu hii ikatwe!Wallah nakufa na wewe!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Blow Job only kwa verified partner,kama sijakuverify sikuruhusu huo ujinga.

ikitokea nmekuruhusu basi iwe kwa mkao huu miguu yake aiweke usoni kwangu

na mimi uso wangu uendelee na K yake,ili aking'ata huko namimi nang'ata huku.
We jamaa we we hahaha
 
Mkazi wa Nyigoti wilayani Serengeti mkoani Mara amekatwa sehemu za siri na mpenzi wake baada ya kushindwa kumlipa Sh5,000 walizoahidiana kulipana kila mshindo.

Tukio hilo limetokea leo Ijumaa, Januari 10, 2020 majira ya saa 11 alfajiri katika nyumba ya kulala wageni ya Gibita iliyoko mjini Mugumu wilayani hapa.

Akizungumza kwa shida akiwa chini ya uangalizi wa waganga hospitali ya Nyerere akipata matibabu, Joseph Nyanakwi amesema alikatwa na mhudumu wa nyumba hiyo baada ya mshindo kumlipa Sh15,000 badala ya Sh20,000 walizokubaliana kulipana na kwa kila mshindo mmoja ni Sh5,000 na yeye alipiga nne na kutoa fedha pungufu.

"Kwanza tulianza kwa vinywaji kisha tukakubaliana kila (hatua) Sh5,000 lakini akaomba kwanza Sh20,000 nikalipa, tumelala kila baada ya (hatua) nilikuwa nalipa Sh5,000 mitatu nililipa huu wa nne sikulipa akanidai nikamwambia akate kwenye Sh20,000 ya kwanza akagomba.”

“Tukalala alfajiri wakati naaga niwahi kijijini kwenye kazi za uchimbaji dhahabu, kumbe alikuwa na wembe ghafla akashika sehemu yangu ya siri na kukata kuanzia chini kwenye makende ili akate kabisa nikapambana lakini akawa ameishaniumiza vibaya," amesema Nyanakwi

Amesema akapiga kelele watu wakajitokeza kumsaidia na kutoa taarifa polisi waliofika na kuwachukua wote na mhudumu huyo aliyemtaja kwa jina la Nyangi Ismael maarufu Mnyamongo ambaye polisi wamekiri kumshikilia.

Mganga mkuu wa hospitali hiyo, Tanu Warioba amesema ataongea baada ya kumaliza kumhudumia majeruhi huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eh kama ameoa hapo ana msala mwingine inawezekana nyumbani anapiga hatua 1 tu tena ndogo sana ila huko kakimbia 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

rombo punguzeni pombe
 
Mhh kwahiyo itakuwaje yaani! Mtu akikatwa kabisa kama hivyo dah! Pale panabaki empty jamani jamani!

Katika psychological perspective anayekata uume nadhani ameumizwa sana katika maisha yake yote ya kufanya mapenzi, labda kubakwa au brutal sex amekutana nazo za kutosha hivyo anaamua kuondoa mnachomuumizia, ukatili mkubwa sana huu. Wanaume sijui mtaponea wapi, wengine wanakatwa na wake zao wengine wanakatwa na Sex workers. Kwa upande wa wake zao sina comment hapo! Lakini kwa upande wa sex workers wanaume muwe makini wale watu saikolojia zao haziko sawa.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hatujakubaliana hii kitu kule Beijing huyu kapata wapi hii
 
Wanaume nchini Tanzania wanapaswa kuongeza umakini zaidi wakati wa tendo la ndoa kutokana na kushamili kwa matukio ya kukatwa nyeti zao na wapenzi wao.

Siku kadhaa zilizopita askari polisi mkoani shinyanga (28) alikatwa nyeti na mke wake na leo Mkazi mmoja wa Wilayani Serengeti amekatwa sehemu zake za siri baada ya kushindwa kumlipa Shilingi 5,000 walizoahidiana kulipana kila mshindo.

Tukio hilo limetokea leo Januari 10, 2020 alfajiri katika nyumba ya kulala wageni ya Gibita iliyoko mjini Mugumu mjini wilayani hapa.

Akiongea wakati akiwa hospitali mhanga wa tukio hilo alikatwa na mhudumu wa nyumba hiyo baada ya kumlipa Shilingi15,000 badala ya Shilingi 20,000 walizokubaliana kulipana kwa kila mshindo mmoja Shilingi 5,000 na yeye alipiga nne na kutoa fedha pungufu.

“Kwanza tulianza kwa vinywaji kisha tukakubaliana kuwa kila mshindo sh 5,000 lakini akaomba kwanza Shillingi 20,000 nikalipa, tumelala kila baada ya mshindo nilikuwa nalipa Shilingi 5,000, mitatu nililipa ,ya nne sikulipa akadai nikamwambia akate kwenye Sh20,000 ya kwanza akagoma”.

“Tukalala alfajiri wakati naaga niwani kijijini kwenye kazi za uchimbaji dhahabu, kumbe alikuwa na wembe ghafla akashika sehemu yangu ya siri na kukata kuanzia chini kwenye makende ili akate kabisa nikapambana lakini akawa ameishaniumiza vibaya,” amesema.

Amesema akapiga kelele watu wakajitokeza kumsaidia na kutoa taarifa polisi waliofika na kuwachukua wote na mhudumu huyo aliyemtaja kwa jina la Nyangi Ismael maarufu Mnyamongo ambaye polisi wamekiri kumshikiria.

Siku kadhaa zilizopita askari polisi mkoani shinyanga (28) alikatwa nyeti na mke wake na leo Mkazi mmoja wa Wilayani Serengeti amekatwa sehemu zake za siri baada ya kushindwa kumlipa Shilingi 5,000 walizoahidiana kulipana kila mshindo.

Tukio hilo limetokea leo Januari 10, 2020 alfajiri katika nyumba ya kulala wageni ya Gibita iliyoko mjini Mugumu mjini wilayani hapa.

Akiongea wakati akiwa hospitali mhanga wa tukio hilo alikatwa na mhudumu wa nyumba hiyo baada ya kumlipa Shilingi15,000 badala ya Shilingi 20,000 walizokubaliana kulipana kwa kila mshindo mmoja Shilingi 5,000 na yeye alipiga nne na kutoa fedha pungufu.

“Kwanza tulianza kwa vinywaji kisha tukakubaliana kuwa kila mshindo sh 5,000 lakini akaomba kwanza Shillingi 20,000 nikalipa, tumelala kila baada ya mshindo nilikuwa nalipa Shilingi 5,000, mitatu nililipa ,ya nne sikulipa akadai nikamwambia akate kwenye Sh20,000 ya kwanza akagoma”.

“Tukalala alfajiri wakati naaga niwani kijijini kwenye kazi za uchimbaji dhahabu, kumbe alikuwa na wembe ghafla akashika sehemu yangu ya siri na kukata kuanzia chini kwenye makende ili akate kabisa nikapambana lakini akawa ameishaniumiza vibaya,” amesema.

Amesema akapiga kelele watu wakajitokeza kumsaidia na kutoa taarifa polisi waliofika na kuwachukua wote na mhudumu huyo aliyemtaja kwa jina la Nyangi Ismael maarufu Mnyamongo ambaye polisi wamekiri kumshikiria.
Lakini na wewe uliyataka mwenyewe kwanini upige vyote hivyo hali hela huna? Ulikuwa na 15,000 kwa hiyo vitatu vilikutosha ukawaka tamaa umevuna ulichopanda pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom