kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Mkuu nawewe umeandika nini hapo? Umeandika maupupuma ya kiwango cha mavi...[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndy maana siku hizi Nime anzisha formla yangu mpya pale wakat wa blowjob na kunyonywa dushe na manzi lazima kisu niwe nimek pack kitandani kwa siri maana chochote kinaweza kutokea
Ni bora kwenda kula ugali wa bure jera kuliko kukatwa dushe utakua mgeni wa nan bila nyetii dunia hii
Nyamongo ndiko alikozaliwa.Et maarufu Mnyamongo
Hiyo AKA imekaa kitata sana kama mhusika mwenyewe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wanaroga kabisa.. Itabidi mabaharia tuokoke kujilinda[emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa kula tunda kimasihara kuweni makini!
Hahahaaa...Kwa historia ya huo Mkoa wanaume wa huko hawanaga kuremba linapokuja suala zima la Show za Kibabe...Hatareee saana.Jaribu kwangu uone shughur yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kupiga sio tatizo ,je Ni za muda gan Kila mshindo mmoja???? Mana zinaweza kuwa za dk 20 Kila moja Sasa hapo s uchafuz huo wa k
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza tulianza kwa vinywaji kisha tukakubaliana kuwa kila mshindo sh 5,000 lakini akaomba kwanza Shillingi 20,000 nikalipa, tumelala kila baada ya mshindo nilikuwa nalipa Shilingi 5,000, mitatu nililipa ,ya nne sikulipa akadai nikamwambia akate kwenye Sh20,000 ya kwanza akagoma
Jr[emoji769]
kama alishampa 20 ya mwanzo kwanini alikuwa analipa tena kila mshindo au bonus.
Ha ha ha ha ha ha, daahNakumbuka kuna kisa cha jamaa anaeitwa Bobito huko USA alikatwa yote na mke wake na kuitupa dirishani kutoka gorofani
Msaria mwema akaiona na kujiongeza kuibeba na kuipeleka duka la 24/7 na kuihifadhi kwenye fridge na kupiga Simu police na Ambulance
Ambulance ilipokuja walimbeba jamaa na mzigo wake
Ilichukua doctors 6 kwa masaa 9 kuunganisha kila mshipa
Baada ya kupona alialikwa na Opra kwenye show na kusimulia na kuomba kama kuna mwanamke anamtaka aongozane nae
Sent from my iPhone using Tapatalk
Siyo mkeweWanaume nchini Tanzania wanapaswa kuongeza umakini zaidi wakati wa tendo la ndoa kutokana na kushamili kwa matukio ya kukatwa nyeti zao na wapenzi wao.
Siku kadhaa zilizopita askari polisi mkoani shinyanga (28) alikatwa nyeti na mke wake na leo Mkazi mmoja wa Wilayani Serengeti amekatwa sehemu zake za siri baada ya kushindwa kumlipa Shilingi 5,000 walizoahidiana kulipana kila mshindo.
Tukio hilo limetokea leo Januari 10, 2020 alfajiri katika nyumba ya kulala wageni ya Gibita iliyoko mjini Mugumu mjini wilayani hapa.
Akiongea wakati akiwa hospitali mhanga wa tukio hilo alikatwa na mhudumu wa nyumba hiyo baada ya kumlipa Shilingi15,000 badala ya Shilingi 20,000 walizokubaliana kulipana kwa kila mshindo mmoja Shilingi 5,000 na yeye alipiga nne na kutoa fedha pungufu.
“Kwanza tulianza kwa vinywaji kisha tukakubaliana kuwa kila mshindo sh 5,000 lakini akaomba kwanza Shillingi 20,000 nikalipa, tumelala kila baada ya mshindo nilikuwa nalipa Shilingi 5,000, mitatu nililipa ,ya nne sikulipa akadai nikamwambia akate kwenye Sh20,000 ya kwanza akagoma”.
“Tukalala alfajiri wakati naaga niwani kijijini kwenye kazi za uchimbaji dhahabu, kumbe alikuwa na wembe ghafla akashika sehemu yangu ya siri na kukata kuanzia chini kwenye makende ili akate kabisa nikapambana lakini akawa ameishaniumiza vibaya,” amesema.
Amesema akapiga kelele watu wakajitokeza kumsaidia na kutoa taarifa polisi waliofika na kuwachukua wote na mhudumu huyo aliyemtaja kwa jina la Nyangi Ismael maarufu Mnyamongo ambaye polisi wamekiri kumshikiria.

Hauwezi kuwakilishwa na mhuni wa hivyo!
Fambafu mwenyewe
Sijui mimi ndio sijaelewa ama ni mleta uzi. Heading AKATWA NA MKEWE content ALIKATWA NA MUHUDUMUWanaume nchini Tanzania wanapaswa kuongeza umakini zaidi wakati wa tendo la ndoa kutokana na kushamili kwa matukio ya kukatwa nyeti zao na wapenzi wao.