kama alishampa 20 ya mwanzo kwanini alikuwa analipa tena kila mshindo au bonus.
Umeandika nini??rudia usome ulixoandika ma upupu yakoWanaume kaeji macho
duh kuna watu wamevurugwa sana sasa anataka kuondoka na kitendea kazi?
Mamaee ndio basi tena ..duhh !!!!
Jamii zote... feminist, wanaharakati NGO, org kila pahala..Mamaee ndio basi tena ..duhh !!!!
Hili tukio lingefanywa na mwanaume .....Jf nzima ingelipuka kwa vichambo na laana dhidi yetu ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Allowance [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama alishampa 20 ya mwanzo kwanini alikuwa analipa tena kila mshindo au bonus.