Akatwa nyeti zake na mkewe baada ya kushindwa kutimiza ahadi ya kumlipa 5000 baada ya mshindo kwenye tendo la ndoa

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kwangu uone shughur yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kupiga sio tatizo ,je Ni za muda gan Kila mshindo mmoja???? Mana zinaweza kuwa za dk 20 Kila moja Sasa hapo s uchafuz huo wa k

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa...Kwa historia ya huo Mkoa wanaume wa huko hawanaga kuremba linapokuja suala zima la Show za Kibabe...Hatareee saana.
 
Wewe tu ndio umeelewa mkuu kuwa hii stori imetengenezwa hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio maana napigaga ka1 tu

imagine makali ya wembe,na njemba kapiga v4 na yuko alcohol 567

nadhani huo uroda wa V4 utakuwa utamu wake wa mwisho,plus utamu wa kiwembe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha ha, daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa cha habari na habarintofauti Mara mke Mara muhudumu Mara alishamlipa elfu 20
 
Siyo mkewe
Yule ni changudoa
 
Dada katuwakilisha vyema [emoji123][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi kuwakilishwa na mhuni wa hivyo!

Sijawahi kusikia hata kwenye madanguro, eti kila mshindo, mtu ateremke kitandani kusachi pochi, kisha kulipa elfu5 taslim.

Akishapanda tena kitandani na kufanikisha bao, wangu wangu anateremka kutafuta hela alikozificha, huku mshirika wake kashikilia kikatio chenye ncha kali huku kanuna akitokwa na udenda wa hamu ya kuua!

Ninasikia alitii kama mara mbili, ya tatu akagoma, akapigwa 'chanjo', wao wanasema 'kugechwa'

Hapo utulivu ambao ndiyo starehe, ataupataje?

Yaani 'marry go round' isiyo na mwisho!
Hapana huyo siyo muwakilishi mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui mimi ndio sijaelewa ama ni mleta uzi. Heading AKATWA NA MKEWE content ALIKATWA NA MUHUDUMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…