Akatwa uume akiwa gesti Arusha

Akatwa uume akiwa gesti Arusha

Wanaume wengine aisee!.

Hivi mwanamke anawezaje kukuzidi nguvu na kukukata? Yaani unazidiwa nguvu na mwanamke? Sasa nawe si Aunt Sada tu?

Hata anishike namna gani, kofi moja tu namzimisha na kumuamsha mwenyewe.

Pumbavu!.
 
Hujui usemacho wewe. Tena wewe anaweza kuua. Hujakutana na malaya waliochang'anyikiwa!
 
Ndio zao,Apo unakuta ana kisu ,wembe,madawa ya kukuzimisha ukate Moto,kwa Nini mwanamke wa hivyo kuangaika nae,ata kukojoa kwenyewe si inakua sio starehe tena
Makahaba wa Arusha ni washenzi mno. Halafu wako rafu rafu sana.. wanavuta sigara hadharani na bangi. Kimsingi ukichukua kahaba Arusha mlipe chake piga bao lako moja kisha ondoka msijuane. Hawana utu. Uzuri wa makahaba wa Chuga ni wagumu mno kutotumia kinga.. ni watumiaji wazuri wa kinga na wanajali sana afya zao kwa upande wa HIV na magonjwa mengine yatokanayo na ngono.
 
Nafikiri malipo yalileta shida!? Yamkini unaweza Kuta Regina aliingia mkataba wa 20,000/ baada ya tendo.silayo akawa mgumu kutoa !!? Hapo Dada Regina akamwonesha Silaya Rangi halisi!! Silayo akaambulia nyuzi nane na maumivu makal i ,Pole silayo
 
ARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.

Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV
Mademu wa chuga bana
 
At least atakuwa na excuse sasa
 
Ni katika kutekeleza ile kauli ya
"Kila mtu ashinde mechi zake"

Na kweli dada kashinda✌✌
 
Back
Top Bottom