Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Pole mkuuUume umeshonwa so haukukatika kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuuUume umeshonwa so haukukatika kabisa
Tena nyie wenye kuongea sana, ndio ukisukumwa kidogo anakukata mpaka shingoWanaume wengine aisee!.
Hivi mwanamke anawezaje kukuzidi nguvu na kukukata? Yaani unazidiwa nguvu na mwanamke? Sasa nawe si Aunt Sada tu?
Hata anishike namna gani, kofi moja tu namzimisha na kumuamsha mwenyewe.
Pumbavu!.
Hujui usemacho wewe. Tena wewe anaweza kuua. Hujakutana na malaya waliochang'anyikiwa!Wanaume wengine aisee!.
Hivi mwanamke anawezaje kukuzidi nguvu na kukukata? Yaani unazidiwa nguvu na mwanamke? Sasa nawe si Aunt Sada tu?
Hata anishike namna gani, kofi moja tu namzimisha na kumuamsha mwenyewe.
Pumbavu!.
Na kamwe siwezi kukutana nao.Hujui usemacho wewe. Tena wewe anaweza kuua. Hujakutana na malaya waliochang'anyikiwa!
Utoto unakusumbua.Na kamwe siwezi kukutana nao.
Angekuua wewe usiye na uwezo. Mimi ningemuua yeye..
Makahaba wa Arusha ni washenzi mno. Halafu wako rafu rafu sana.. wanavuta sigara hadharani na bangi. Kimsingi ukichukua kahaba Arusha mlipe chake piga bao lako moja kisha ondoka msijuane. Hawana utu. Uzuri wa makahaba wa Chuga ni wagumu mno kutotumia kinga.. ni watumiaji wazuri wa kinga na wanajali sana afya zao kwa upande wa HIV na magonjwa mengine yatokanayo na ngono.Ndio zao,Apo unakuta ana kisu ,wembe,madawa ya kukuzimisha ukate Moto,kwa Nini mwanamke wa hivyo kuangaika nae,ata kukojoa kwenyewe si inakua sio starehe tena
Mademu wa chuga banaARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.
Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV
chuga😂😂😂😂😂😂
Baadhi ya wanawake ni viumbe katili sana..
Jamani umkate baba wa watu machine unataka aitwe Auntie Aisha..??
Pole yake maskiini..!!
At least atakuwa na excuse sasaARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.
Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV
HakikaMITHALI 6:32
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."
Lakini kuna tabia za kuepuka pia. Unaenda sehemu hupajui vizuri we kisaa una allowance mfukoni unachukua miboko hata hamfahamiani unaenda kulala nayo tena ukiwa bwiii hapo si unaweza hata kuuwawa?Kuna wakati wanawake wanakuwa viumbe wakatili sana