Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Hakuna wa kufanya uo ujinga humu.... omba mwenyewe... mimi binafsi hapanaPray for Mange
Sent from "La -Vista"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wa kufanya uo ujinga humu.... omba mwenyewe... mimi binafsi hapanaPray for Mange
Mimi hapa. Na baadae imethibitishwa hii inaonesha ni jinsi gani habari zangu zipo accurate. Nakushauri kila nitakachoandika ukiaminiChanzo cha habari tafadhali...
MmmhMimi hapa. Na baadae imethibitishwa hii inaonesha ni jinsi gani habari zangu zipo accurate. Nakushauri kila nitakachoandika ukiamini
bipolar katikaa ubora wake nadhani leo hajanywa dawa.
Kwa Muda wa siku kadhaa hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kutoka kwa diaspora Mange Kimambi kuwa account yake imedukuliwa. Pamoja na kuwa na baadhi ya mabandiko kuwa amefanikiwa kuiokoa account hiyo, bado nina Imani kuwa sio original Mange huyu anayepost hivi vitu virahisi huku mtandaoni....
Kuna tofauti kubwa sana kwenye namna ambayo Mange huyu wa sasa anavyobandika mambo kwenye mtandao. Yaani hakuna analysis yoyote, na hata tone inayotumika sio ya Mange. Na kuna kujirudia kwa post za zamani bila sababu. Kitu kingine ni kuwa huyu Mange wa sasa ni wa serikali zaidi, na anaogopa hata kayatoa Yale maneno ya shombo kwa muhimili wa serikali, tofauti na Mange tunayemjua.
Huyu Mange wa sasa hakujiandaa kuwa mange, hakufanya mazoezi ya kuwa mwenye account.
Nina waswas Kama huyu diaspora atakuwa hai au wameshamuwahi....
Ni uelewa wangu, Hebu mwenye technical aspect ya hili swala atujuze.
Duh! Ina maana wameenda kumshughulikia huko huko US!!??
Basi ni hatari kama ni kweli.
hahahaha ngoja nikimbie mi sipooooo!Kama yule ambaye asipokunywa dawa anaapa katu hapandishi shalalioooo
unamtukana nani sasa?? acha ulimbukeni mtandaon weweSasa ikidukuliwa mtawafanya nini
Pumbavuuuu
Mambo vipi wapendwa. Napenda kuwapa tetesi zinazoabza kusambaa mtaani kuwa mange hajulikani alipo na account yake ya insta imedukuliwa na "watu wasiojulikana" hii ni baada ya kuanza kupost matusi na kuandika makorokocho kama mtoto anaeanza darasa la kwanza. Kuna video hapa inaelezea ishu nzima Snitch
Victoire nadhani alishangilia. Nadhani wana visa maana hiyo shangwe haikuwa kawaidaKuna mtu humu alileta uzi anachekelea akaunti ya mange imepotezwa tena akaenda mbali zaidi na kuanza kujigamba kwamba huyo hawezi kucheza na serikali wakishilikiana na mafia,baada ya akaunti kurudi kauchuna kimya utadhani hajaona wakati iliporudi nauhakika alikuwa wa kwanza kujuwa kwa jinsi anavyomfuatilia huyo dada.
Kuna mda unaweza kucheka jinsi jeshi la watu wengi linavyoshindana na mtu mmoja ambaye silaha yake ni akaunti tu ya instagram.anyway huyo anatimiza ya kwake anayoona kwa mtazamo wake ni sahihi cha kushangaza ni pale mtu anapokasilika wakati mwenzie anafanya yake,mbona wewe hakuna mtu anayekasilika ukifanya yako?tunahisi unatatizo kwenye akili yako.
Fanya yako nawe ufuatiliwe na watu kukasilika anachofanya unayemfuatilia ni kujichelewesha mwenyewe kufuatiliwa na watu.View attachment 611006