Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Status
Not open for further replies.
TAZAMA Mwenyewe Zari The Boss Lady Ilivyokuwa Shangwe katika uzinduzi wa Mall | Dar Es Salaam
 
Screenshot_20171014-215655.png
 
Kwa Muda wa siku kadhaa hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kutoka kwa diaspora Mange Kimambi kuwa account yake imedukuliwa. Pamoja na kuwa na baadhi ya mabandiko kuwa amefanikiwa kuiokoa account hiyo, bado nina Imani kuwa sio original Mange huyu anayepost hivi vitu virahisi huku mtandaoni....

Kuna tofauti kubwa sana kwenye namna ambayo Mange huyu wa sasa anavyobandika mambo kwenye mtandao. Yaani hakuna analysis yoyote, na hata tone inayotumika sio ya Mange. Na kuna kujirudia kwa post za zamani bila sababu. Kitu kingine ni kuwa huyu Mange wa sasa ni wa serikali zaidi, na anaogopa hata kayatoa Yale maneno ya shombo kwa muhimili wa serikali, tofauti na Mange tunayemjua.

Huyu Mange wa sasa hakujiandaa kuwa mange, hakufanya mazoezi ya kuwa mwenye account.

Nina waswas Kama huyu diaspora atakuwa hai au wameshamuwahi....

Ni uelewa wangu, Hebu mwenye technical aspect ya hili swala atujuze.
 
Kuhusu michambo na kutukana watu wengi wamemuomba apunguze au aache matusi maana kuna wazee na watu wa heshima zao tena viongozi wa dini ,vyama ,hadi serikalini wanamfuatilia
 
Duh! Ina maana wameenda kumshughulikia huko huko US!!??
Basi ni hatari kama ni kweli.

Nasikia babu wa Gombe kaenda USA ,sasa sijui ndo kapewa hiyo kazi ya kuratibu? Ili aonewe huruma na kupewa madaraka ambayo kutwa anashinda mahakamani kuyatafuta?
 
Mambo vipi wapendwa. Napenda kuwapa tetesi zinazoabza kusambaa mtaani kuwa mange hajulikani alipo na account yake ya insta imedukuliwa na "watu wasiojulikana" hii ni baada ya kuanza kupost matusi na kuandika makorokocho kama mtoto anaeanza darasa la kwanza. Kuna video hapa inaelezea ishu nzima Snitch

Hamna cha kudukuliwa wala nini. Karma. Huyu dada anependa ku-attack watu na ni mgomvi. Pombe imemdhalilisha leo
 
Kuna mtu humu alileta uzi anachekelea akaunti ya mange imepotezwa tena akaenda mbali zaidi na kuanza kujigamba kwamba huyo hawezi kucheza na serikali wakishilikiana na mafia,baada ya akaunti kurudi kauchuna kimya utadhani hajaona wakati iliporudi nauhakika alikuwa wa kwanza kujuwa kwa jinsi anavyomfuatilia huyo dada.

Kuna mda unaweza kucheka jinsi jeshi la watu wengi linavyoshindana na mtu mmoja ambaye silaha yake ni akaunti tu ya instagram.anyway huyo anatimiza ya kwake anayoona kwa mtazamo wake ni sahihi cha kushangaza ni pale mtu anapokasilika wakati mwenzie anafanya yake,mbona wewe hakuna mtu anayekasilika ukifanya yako?tunahisi unatatizo kwenye akili yako.

Fanya yako nawe ufuatiliwe na watu kukasilika anachofanya unayemfuatilia ni kujichelewesha mwenyewe kufuatiliwa na watu.
Screenshot_2017-10-17-08-40-15.png
 
Kuna mtu humu alileta uzi anachekelea akaunti ya mange imepotezwa tena akaenda mbali zaidi na kuanza kujigamba kwamba huyo hawezi kucheza na serikali wakishilikiana na mafia,baada ya akaunti kurudi kauchuna kimya utadhani hajaona wakati iliporudi nauhakika alikuwa wa kwanza kujuwa kwa jinsi anavyomfuatilia huyo dada.

Kuna mda unaweza kucheka jinsi jeshi la watu wengi linavyoshindana na mtu mmoja ambaye silaha yake ni akaunti tu ya instagram.anyway huyo anatimiza ya kwake anayoona kwa mtazamo wake ni sahihi cha kushangaza ni pale mtu anapokasilika wakati mwenzie anafanya yake,mbona wewe hakuna mtu anayekasilika ukifanya yako?tunahisi unatatizo kwenye akili yako.

Fanya yako nawe ufuatiliwe na watu kukasilika anachofanya unayemfuatilia ni kujichelewesha mwenyewe kufuatiliwa na watu.View attachment 611006
Victoire nadhani alishangilia. Nadhani wana visa maana hiyo shangwe haikuwa kawaida
Victoire
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom