Sina shida na argument yako, unahoja za kuchunguzwa ukweli wake, kuhusu makubaliano ya ujerumani na Kenya kwenye fursa za kazi.
Una hoja pia kuhusu serikalini kubebana, hata mimi nimeongelea Ridhiwani kuwa nepo/baby.
Shida ni merit ya accusation za mada. Kwa sababu kuna vigezo vya waziri wa kazi ku-post ujinga alipost huyo waziri wa Kenya. Huwezi mlaumu Ridhiwani kutofanya upuuzi bila ya kujua sababu za waziri wa Kenya.
Badala ya kunitukana kwa hoja nilizoanndika kutokana na mada husika. Unaenda introduce mambo mapya ambayo sio msingi wa mada.
Bilateral employment agreement ya Kenya/Germany inahusika vipi na hii mada?
Weka hayo makubaliano na Tanzania yaliyopo na hao watu unaosema.Kwani huko kwa Warabu hakuna Agreement? au nikuwekee hapa? kote huko had8 Bahamas ni Agrements ndio zipo, Ngoja nikuwekee hapa za Waarabu
Wanashiba shida Iko wapi?na hakuna anaye hoji kuanzia Viongozi hadi raia wenyewe kimya, vijana wako busy na Simba na Yanga
Bongo hakuna Uneemployment? mnachekesha sana, au Graduate wakaendeshe Bodaboda?Kenya ni mojawapo ya Nchi Zenye mass unemployment hapa Africa.
Tanzania ni mojawapo ya Nchi ambazo watu wake Wana Ajira Kwa Wingi na Wala hawataki kukimbia Nchi.
Kenya inafukuzia wafanyakazi wakati Tanzania inaajiri maelfu ya wafanyakazi Kila mwaka.
Ndio weww uweke,Weka hayo makubaliano na Tanzania yaliyopo.
Serikali imewahi tangaza labor deals huko arabuni mkaanza kusimanga viongozi kwamba wanaenda Kufa ya Watoto Wenu mayaya hamuendi.Uwe na akili ya kudadavua mambo.
Umeona hapo kuna labour deal, maana yake ni exclusive to Kenya.
Sasa hapo uoni kama ki serikali kuna mambo mengi including wizara ya mambo ya nje ku-secure agreement kama hizo.
Hiyo point yako inauhusiano gani na topic ya hii mada?
Aarghh
Uwe unaelewa matumizi sahihi ya maneno,Rudi kusoma upya ndio uje kuulizaBongo hakuna Uneemployment? mnachekesha sana, au Graduate wakaendeshe Bodaboda?
Taifa limejaa wajinga type yako, unadai hakuna tatizo la ajira Tanzania? wewe nahisi unashiba sana pesa za uchawaWanashiba shida Iko wapi?
Una uhakika? Nikuoneshe post za mabalozi wakionesha fursa za masoko, biashara na elimu?Kuna mabalozi karibu Kila Nchi zenye fursa lakini huwezi Kuta balozi anafanya mpango raia wa Tanzania wapate Kazi huko ili baadae waje Tanzania kuwekeza au na ujuzi ndicho wanachofanya kenya baada ya miaka 10 vile vya nje watavileta ndani kuendeleza ujuzi.. balozi polepole wa cuba alianza kuleta fursa zilizopo CUBA wanaanza mfanyia figisu watanzania mmelaaniwa kabisa .
Sina shaka taahira kama wewe, nimesha ku-ignore kwenye ID zako nyingine.Ndio weww uweke,
kenya Serikali yao inatafuta sio kwa Waarabu tu, hadi Ulaya, Ujerumani, Uk na kule Australia, sasa onyesha kazi za Serikali ilizo watafutiaSerikali imewahi tangaza labor deals huko arabuni mkaanza kusimanga viongozi kwamba wanaenda Kufa ya Watoto Wenu mayaya hamuendi.
Shenzi kabisa tafuteni wenyewe
Ashauri serikali ishushe Kodi na tozo za kuanzisha Biashara zinazotengeneza ajira nyingi. Watu wengi Wana ubunifu mwingi wa kutengeneza ajira lakini wakiwaza kutekeleza ubunifu huo kwa vitendo wanakata tamaa.... Asilimia 10 kwenye Halimashauri zeinde kwa vijana wajiajiri. ...
Wewe ndio mjinga ,Tanzania watu Wana shiba ndio maana huwezi Kuta wanauana kisa ugaliTaifa limejaa wajinga type yako, unadai hakuna tatizo la ajira Tanzania? wewe nahisi unashiba sana pesa za uchawa
Punguza na acha upuuzi wewe mjinga mmja Waziri Kikwete: Fursa za ajira kwa vijana nje ya nchi kipaumbele cha Serikali ya Rais SamiaHii nchi tunakwama pakubwa mno, tunakwama sana kama Taifa.
View attachment 3179810
Alfred Mutua acclunt yake, angakia tu profile photo.
View attachment 3179811
Account hio ya Riziwani Kikwete angalia Profile Photo yake, ina zungumza yenyewe.
Alfred Mutua Waziri wa maswala ya ajira wa Kenya kwenye account yake kumejaa matangazo ya nafasi za kazi kwa vijana kama vile za Ujenzi, uendeshaji Bodaboda na kadhalika nje ya nchi hasa Mataifa ya Kiarabu.
View attachment 3179814
Namuona Waziri mwenyewe ndio anawapambania pasport na Visa kabisa vijana wanao elekea huko.
View attachment 3179815
Njoo sasa kwenye account ya Riziwani Kikwete Waziri wa Maswala ya ajira Tanzania. account yake hakuna mahala hata post ya kuzungumzia ajira achilia mbali kiwatafutia vijana furusa iwe ni ndani au nje ya nchi.
View attachment 3179816
Account imejaa post za uchawa mwanzo mwisho.
View attachment 3179818
AJira za kupeana hizi, tunakwama sana kama nchi na Mungu atufungue tuone tunavyo kwama kama Taifa.
Huwezi msikia Waziri ana adress swala la tatizo la ajira kwa vijana na wala hana Idea ni kitu gani kifanyike.
Kinachoongelewa hapa ni kusiifia ukurasa wa Waziri Mutua kujaa post ya fursa za kazi, wakati huko Kenya inapondwa...hizo fursa za Ujerumani ni suala la muda ukweli utajulikana, mpaka sasa tetesi zinazunguka ni siasa za Ruto na hakuna la maana...Wanasiasa wa Kenya wapo vizuri kwenye optics ukifuatilia mambo kwa juu juu utasema wanafanya mambo ya maana ila ni upuuzi ule ule wangekuwa hapa Tanzania ambapo majority ya Raia hawana uwezo wakutumia akili ingekuwa ni rahisi sana....kwa jinsi unavyokaza kichwa kumtetea Mutua na Ruto unazidi kuonyesha usahihi wa kauli ya Jomoe Kenyata aliyemuambia Nyerere kuwa anaongoza maiti lakini yeye anaongoza binadamu waliolala.sikiliza hizo ni kazi za muda mfupi sio proffesional job, vipi za Ujerumani? Uchawa unawasumbua sana nyie
Mutua yuko anafanya biashara halafu kuna Watanganyika wanampigia makofi na kumsifia🐼Serikali imewahi tangaza labor deals huko arabuni mkaanza kusimanga viongozi kwamba wanaenda Kufa ya Watoto Wenu mayaya hamuendi.
Shenzi kabisa tafuteni wenyewe