Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

Kwa hivyo unataka Ridhiwani nae aende kwenye employment websites na kukopi ajira ambazo zinazotangazwa huko duniani na kuzinadi kwenye page yake.

kibarua cha waziri wa ajira ni kutetea maslahi ya wafanyakazi au ni ku-promote kazi za nje ya nchi?

Mwenye jukumu la kutengeza ajira nchini ni waziri wa uchumi au waziri wa ajira?

Kisa Kenya wana waziri ambae ni overambitious unataka na Ridhwani a-copy huo upuuzi.

Hilo ni tatizo la wizara ya elimu kwenye kuwafundisha watu namna ya kufanya job search au ni tatizo la wizara ya ajira?

I don’t know hii nchi itachomoka vipi kwakweli, a majority of leaders and citizens are clueless to how the world works.

Yaani waziri ana-post upuuzi kwenye page yake, you actually think that is something worth of emulating.

Sisemi kama Ridhwani ni mtu wa maana (he is incompetent, that’s a fact) lakini ana rationale ya maamuzi kwa sababu ya input ya baba yake (he is diplomatic, rejea sakata, la mgogoro wa ardhi Simamjiro) badała ya kukurupuka alitaka kusikia pande mbili za mgogoro kwanza. Hapo ndio unaona input ya baba yake kwenye uongozi.

Nonetheless surely kama waziri wa ajira ana majukumu mengi ya ndani ambayo hana uwezo nayo kwa siasa za nepotism. Lakini anachofanya huyo waziri wa Kenya ni swala la wizara ya elimu kuwafundisha wanafunzi wao on job search.

Huwezi mlaumu Ridhiwani kuto-post ujinga kwenye page yake. Mambo mengine unatakiwa ujiongeze mwenyewe. Unless wahusika wakuletee advert ya nafasi za kazi kwao. Sasa inawezekena Kenya wanatumiwa sisi atutumiwi ndio maana waziri wao ana wajibu kutangaza.
 
Hii nchi tunakwama pakubwa mno, tunakwama sana kama Taifa.
View attachment 3179810
Alfred Mutua acclunt yake, angakia tu profile photo.

View attachment 3179811
Account hio ya Riziwani Kikwete angalia Profile Photo yake, ina zungumza yenyewe.

Alfred Mutua Waziri wa maswala ya ajira wa Kenya kwenye account yake kumejaa matangazo ya nafasi za kazi kwa vijana kama vile za Ujenzi, uendeshaji Bodaboda na kadhalika nje ya nchi hasa Mataifa ya Kiarabu.
View attachment 3179814

Namuona Waziri mwenyewe ndio anawapambania pasport na Visa kabisa vijana wanao elekea huko.
View attachment 3179815

Njoo sasa kwenye account ya Riziwani Kikwete Waziri wa Maswala ya ajira Tanzania. account yake hakuna mahala hata post ya kuzungumzia ajira achilia mbali kiwatafutia vijana furusa iwe ni ndani au nje ya nchi.
View attachment 3179816

Account imejaa post za uchawa mwanzo mwisho.
View attachment 3179818

AJira za kupeana hizi, tunakwama sana kama nchi na Mungu atufungue tuone tunavyo kwama kama Taifa.

Huwezi msikia Waziri ana adress swala la tatizo la ajira kwa vijana na wala hana Idea ni kitu gani kifanyike.
Kha! wewe unadanganyika na hao matapeli wa kenya ambao nchi imewashinda?
 
Bongo kila msukule wa maza priority ya kwanza ni kuwa chawa. Maza nae anapenda sifa za reja reja kama huimbi pambio anakuweka kando.

Hiyo passport yenyewe kupata bongo utadhani inakupeleka mbinguni na nauli wanakupa wao.

Kila siku Kabla ya kulala usisahau kusema nchi ya kipumbavu sana hii na kusonya.
 
Hii nchi tunakwama pakubwa mno, tunakwama sana kama Taifa.
View attachment 3179810
Alfred Mutua acclunt yake, angakia tu profile photo.

View attachment 3179811
Account hio ya Riziwani Kikwete angalia Profile Photo yake, ina zungumza yenyewe.

Alfred Mutua Waziri wa maswala ya ajira wa Kenya kwenye account yake kumejaa matangazo ya nafasi za kazi kwa vijana kama vile za Ujenzi, uendeshaji Bodaboda na kadhalika nje ya nchi hasa Mataifa ya Kiarabu.
View attachment 3179814

Namuona Waziri mwenyewe ndio anawapambania pasport na Visa kabisa vijana wanao elekea huko.
View attachment 3179815

Njoo sasa kwenye account ya Riziwani Kikwete Waziri wa Maswala ya ajira Tanzania. account yake hakuna mahala hata post ya kuzungumzia ajira achilia mbali kiwatafutia vijana furusa iwe ni ndani au nje ya nchi.
View attachment 3179816

Account imejaa post za uchawa mwanzo mwisho.
View attachment 3179818

AJira za kupeana hizi, tunakwama sana kama nchi na Mungu atufungue tuone tunavyo kwama kama Taifa.

Huwezi msikia Waziri ana adress swala la tatizo la ajira kwa vijana na wala hana Idea ni kitu gani kifanyike.
Wanapeana vyeo kwa kujuana tu! Chukuwachakomapema hamna kitu pale! Wizi, ubadhirifu, ufisadi, uvivu, uasherati, utekaji, unyanyasaji ndio wajuayo!
 
Kwa hivyo unataka Ridhiwani nae aende kwenye employment websites na kukopi ajira ambazo zinazotangazwa huko duniani na kuzinadi kwenye page yake.

kibarua cha waziri wa ajira ni kutetea maslahi ya wafanyakazi au ni ku-promote kazi za nje ya nchi?

Mwenye jukumu la kutengeza ajira nchini ni waziri wa uchumi au waziri wa ajira?

Kisa Kenya wana waziri ambae ni overambitious unataka na Ridhwani a-copy huo upuuzi.

Hilo ni tatizo la wizara ya elimu kwenye kuwafundisha watu namna ya kufanya job search au ni tatizo la wizara ya ajira?

I don’t know hii nchi itachomoka vipi kwakweli, a majority of leaders and citizens are clueless to how the world works.

Yaani waziri ana-post upuuzi kwenye page yake, you actually think that is something worth of emulating.

Sisemi kama Ridhwani ni mtu wa maana (he is incompetent, that’s a fact) labda ana rationale ya maamuzi kwa sababu ya input ya baba yake (he is diplomatic, rejea sakata, la mgogoro wa ardhi Simamjiro) badała ya kukurupuka alitaka kusikia pande mbili za mgogoro kwanza. Hapo ndio unaona input ya baba yake kwenye uongozi.

Nonetheless surely kama waziri wa ajira ana majukumu mengi ya ndani ambayo hana uwezo nayo kwa siasa za nepotism. Lakini anachofanya huyo waziri wa Kenya ni swala la wizara ya elimu kuwafundisha wanafunzi wao on job search.

Huwezi mlaumu Ridhiwani kuto-post ujinga kwenye page yake. Mambo mengine unatakiwa ujiongeze mwenyewe. Unless wahusika wakuletee advert ya nafasi za kazi kwao. Sasa inawezekena Kenya wanatumiwa sisi atutumiwi ndio maana waziri wao ana wajibu kutangaza.
Ni rahisi sana kucheza na akili zetu, majority ya Wakenya huko are not buying into Mutua's cheap politics na wanamponda vibaya sana na hizo kazi nyingi anazopost wanasema ni za hovyo. Ila huku kwetu angekuwa ni shujaa na genius 😁
 
Kuna shida hawa ndio watu watakao kuaminisha Lissu ni mbobezi wa sheria.

Kesi yake na TiGO imeishia wapi ambayo alihitia press conference na kusafiri kwenda kukutana na mwanasheria wake.

Wakati wengine tunasema anapayuka tu huyo, TiGO sio easy pickings kama serikali ya Tanzania wanaoshindwa kesi za kushinda hatueleweki.

Watanzania ni gullible society, hawana nitty gritty ya jinsi dunia inavyozunguka.

There are only two justification ya huyo waziri wa Kenya ku-promote hizo nafasi. Either nchi husika inataka raia wa Kenya ndio maana waziri ana promote; vinginevyo kama anaziokota mitandaoni na kuzitangaza atakuwa mental case.

Sasa Ridhiwani nae kwenda kuokota job advertisement mitandaoni na ku it’s gaza huo utakuwa uchuzi. Kufuatwa na wahusika wizara kukaa kimya hiyo inaweza kuwa shida kweli.

Lakini huwezi kulaumu watu bila ya kuelewa taratibu za nchi wanaotangaza ajira na kwa sababu gani.
 
Hao GenZ wa Kenya waliandamana na madai yao moja wapo lilikuwa ni ukosefu wa Ajira, sasa hapa Bongo hawa Vijana hawataki hata kuandamana na kushinikiza Serikali wengi wanaandamana kwa ajilli ya ushindi wa Simba/Yanga na mambo mengine ya kipuuzi.

Wako busy kubet
 
Ni rahisi sana kucheza na akili zetu, majority ya Wakenya huko are not buying into Mutua's cheap politics na wanamponda vibaya sana na hizo kazi nyingi anazopost wanasema ni za hovyo. Ila huku kwetu angekuwa ni shujaa na genius 😁
Bora kazi za hovyo au kushinda njaaa? hao aanao moanda ni wale wenye kazi zao, kulipwa milion moja kwa mwezi Tsh ni kazi za hovyo? kwani hapo Kenya hakuna kazi za hovyo? wahindi wanalipa pesa ngapi wafanya kazi wao?
 
Back
Top Bottom