Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
observation yangu.
wanaofanya majaribio ya ku-hack hiyo account yake,wanafanya hivyo mida ya usiku,mida ambayo mwenye account amelala.

kwa wasiofahamu tu,mji ambao mange kimambi anaishi huko US,sasa hivi ni saa kumi na moja alfajiri.

kama account yake ilitoweka hewani na kurudi,ndio kusema hackers hao waliivamia account hiyo mida ya saa tisa au saa kumi usiku.

kwa muktadha huo huo wa masaa,ukichanganya akili zako vizuri,utajua location ya wanaojaribu ku-hack account yake....hawapo US,wapo katika nchi fulani......
 
Naona followers wake wanalia hapa eti atafungua nyingine. Tatizo sio kufungua nyingine,tatizo ni kupata followers milion 2 kwa muda mfupi. Maana wale followers wengi aliwavuta kwa kumtukana lowassa kisha,mafufuli,msiba wa ivan,mimba za zari etc
Exactly
 
Haaaa kuna ma IT humuu ngoja tusubiri wakati utimie,atarudi tuu nadhani
kesharudi zamani, manake watu wameongea wee, nadhani sasa limewashuka, aisee watu wamebwabwaja nilikuwa nasoma na kucheka tu,
 
Hujui lolote, we n mburula tu unaejiita gentamycin,,,,, unaandika ushuz tu huku jf,,, just shut up

Kweli hakuna ninachokijua ila angalau ratiba zako zote za kwenda ' Kubanduliwa ' na Yule ' Mwarabu ' Koko wako nazijua na nimezikariri pia.
 
Kama kweli wameweza kufunga akaunti hii basi wana nguvu na akili za hali ya juu, naamini watatumia nguvu na akili hii hii kuwakamata watesi wa TL. Pray for Lissu!
 

Mission Accomplished.
 
Juzi tu hapo watu wame hack na mwenye akakiri.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…