kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
observation yangu.
wanaofanya majaribio ya ku-hack hiyo account yake,wanafanya hivyo mida ya usiku,mida ambayo mwenye account amelala.
kwa wasiofahamu tu,mji ambao mange kimambi anaishi huko US,sasa hivi ni saa kumi na moja alfajiri.
kama account yake ilitoweka hewani na kurudi,ndio kusema hackers hao waliivamia account hiyo mida ya saa tisa au saa kumi usiku.
kwa muktadha huo huo wa masaa,ukichanganya akili zako vizuri,utajua location ya wanaojaribu ku-hack account yake....hawapo US,wapo katika nchi fulani......