Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Alikuwa na followers milion karibia mbili,ni pigo sana kwake,tulimpenda ila Iphone 8 imempenda zaidi.Wale wa hide my name mjiandae.Astagallafullah.
Tatizo hapa ni hili. Atafungua ingine na within a daya itakuwa na wafuasi wengi zaidi.Na pengine sasa ata hire experts wa kumshauri, na itakuwa ngumu zaidi . mkiendelea fanya sana atareport instagram kuwa mnafuta accounts za watu.Wataanza ban watu wa serikali taratibu.Mishowe watabaki wengine waki enjoya issue za mange bila break.
 
Siyo official hii,yake ilikuwa na followers milioni na ushee.

ukiwa mtu maarufu kupata followers ni kazi ndogo sana..

hata akifungua mpya anawapata kibao..

kama kina lulu, mobetto, le mutuz wanapata followers hawez shindwa mange
 
Itarud na kiuzi chako utaona aibu. Mbona una hackiwa mara kadhaa na anarudi
This time harudi na akirudi arudi kwa device nyingine,akitumia ile iphone 8 alopewa zawadi ni kazi bure.Nimeamini Mange hana akili ya kufikiria kabisa.
 
Yaani wamempata kirahisiii,wangemkosa hapo wangemtumia mzungu wakampa ma hela akamtongoza basi anapatikana very simple.

Alishaliwa ' denge ' Kimafia siku nyingi sana ila Yeye kaja ' Kushtukia ' mchezo ndani ya wiki mbili hizi wakati imekuwa ' its too late '. Na hiyo si dalili njema Kwake kwani anything can happen at anytime. Sijawahi kuonaa ni wapi ' Mafia ' wakiungana na ' System ' kukutafuta wakakukosa. Na waliotumika kummaliza ni hao hao Watu anaodhani ni ' Marafiki ' zake kumbe ndiyo ' Nyoka ' wakubwa Kwake. Moja ya Kanuni ' Kuu ' ya Kimafia na Kijasusi popote pale duniani mbele ya potential target ' yao ni ama kumtumia Rafiki yake wa karibu sana au Ndugu yake ( mwana Familia wake ) katika kulifanikisha wanalolitaka na huwa hawakukosi katika hayo mawili hata ufanyeje. Na nina uhakika kuna Watu wengi sana ' yatawakuta ' makubwa siku zote ukiwa katika ' Mapambano ' makali ukitaka kulishinda Kundi fulani basi Kwanza anza na yule the ' Strongest ' wao kisha kuwamaliza hawa wengine inakuwa ni kama tu ' Kuteremka ' na Gari Mlima Kitonga bila kuliwasha na linatiririka na kuserereka lenyewe tu hadi chini.
 
sasa kwani si anafungua nyingine tu? hahaha panya ukimzuia hapa anatoboa tundu lingine anaendea kwingine
Hao walioidukua kwa sasa wanacheza na DM yake tu,
Tutegemee mengi zaidi ya haya
 
Duh, unalia kama uko msibani vile.
 
Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
LAKINI MBONA ALISEMA ALIENDA KUBADLISHA RANGI KUAVOID HABARI HII??? yaani kama alikua tu anajishaua uwezo wa kubadili hana... hahahhahahahah famba sana
 
unampaisha sana adeal na macontroler kwa umaarufu gani au heshima gani anayo katika dunia hii???kudeal na macontroler hiyo ni special favour na haitolewi tolewi tuu ilimradi umejisikia tuu.

Na kama kudeal na macontroler basi serikali ya tanzania ingeshamfungia kitambo wangeenda tuu kumreport upuuzi wake basi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…