Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Tatizo hapa ni hili. Atafungua ingine na within a daya itakuwa na wafuasi wengi zaidi.Na pengine sasa ata hire experts wa kumshauri, na itakuwa ngumu zaidi . mkiendelea fanya sana atareport instagram kuwa mnafuta accounts za watu.Wataanza ban watu wa serikali taratibu.Mishowe watabaki wengine waki enjoya issue za mange bila break.Alikuwa na followers milion karibia mbili,ni pigo sana kwake,tulimpenda ila Iphone 8 imempenda zaidi.Wale wa hide my name mjiandae.Astagallafullah.